victor moshi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 829
- 1,061
Hivi clouds wameshawekaa matangazooo???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbaffff,...
achana nae Hilo Li kinembe refu kama mnara wa voda
vote4davido
best male msisahau MR AYEE
Afu huyu shetani yupo Tanzania tu nchi nyingine sidhani kama kuna hii ujinga. Ukiona mtu anafurahia kuanguka kwa mwingine jua hivyo ndo vi ajent vya shetani hapa duniani ndo anavitumia kuangusha wengine
Sikuwahi hata siku moja kutegemea kuona chuki kiasi hiki ukizingatia huyo Diamond hata hajuani na wengi wa wanaomchukia humu na kwingineko.
Inatia aibu kwa kweli.
http://mama.mtv.com/ pigia kura Daimond
Vote for davido...wizkid....Vanessa....saut Sol... Eti uzalendo ?? Wakati mnamtukana wema over zari mganda ambaye kutwa kuwadharau hamkujua kuwa kuna uzalendo??? Kwa wanaija walivyo wengi jumlisha team kiba wema na jokate Akishinda domo nakaa uchi stand ya ubungo siku nzima...
Hahahaaaaaa..
Mmenipa wazo Ninyi watu mnaojiita team, team.
Nina watoto 3 , nawafungulia emails wooote ili wampigie kura Diamond ,
Nafanya hivi kwa kuwa mmenitia hasira kwa kukosa utanzania..
Kura za watoto wangu 3 kwa Diamond na Vanessa.
Diamond kura ( watoto 3× category 3× kura 20= kura 180 jumla.
Afu Nina group la whatsapp la wazalendo km Mimi....hawafuatilii music ila watafanya km Mimi kwa Heshima ya Tanzania na nasanaa yake.