Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Vote for davido...wizkid....Vanessa....saut Sol... Eti uzalendo ?? Wakati mnamtukana wema over zari mganda ambaye kutwa kuwadharau hamkujua kuwa kuna uzalendo??? Kwa wanaija walivyo wengi jumlisha team kiba wema na jokate Akishinda domo nakaa uchi stand ya ubungo siku nzima...

we subiri ifike hiyo siku na kweli utakaa uchi ubongo
 
Aisee kweli watanzania tuna roho za korosho! Dah.... Sijawahi ona kitu kama hiki tangu niwe na akili..!!

Shikamoo kaka. Samahani lakini. Haya mambo unayoyaona hayajaanzia hapa. Ungekuwa unayajua yalipoanzia ungeshauri hizi team zivunjwe na sio kulaumu watu Wa upande mmoja. Huwa unafika kwenye post za diamond kiba na wema wanavyotukanwa as if wao ni paka wasio na faida yoyote? Yani Hata paka ana afadhali maana anaua panya.
Kwa mgomo huu kama dai na fans wake waana akili watajifunza na kubadilika
 
Nacheka km mazuri hata mm ningekuwa wema au jokate ningempigia kura davido kwa kweli, hivi nasubutuje kupiga kura mtu ambaye kutwa ananiimba na kutaja list yake yote aliyokuwa nayo wakati yuko nami? Na swala la kuwa jokate ni makombo je sasa anaanzaje ku mpigie kura dimondi ilhali kinywa chake kutwa ni kashafaaaa? Davido hebu chukua kula hiyo
 
Ni hivi mnatutesa Sana na mnatuumiza Sana kuacha kumpigia kura Mtanzania mwenzenu na kuwapigia kura wanaija,kisa na sababu zisizo za msingi sasa ni hivi pigieni hao wanaija,ila ikitokea siku Kiba nae akienda kushindania tuzo za Africa na wasanii wakubwa na sie tutalipa kuwapigia kura wengine tutamuachaaa Kina
Na ole wenu ,ole wenu tutawaona
Nasema tutalipa sie team Diamond
Yaoneni sura zenu mbayaaa mfyuuuuuuuuuuu ,

Jamani kwa wenye mapenzi mema na diamond tuendelee kumpigia kura najua baadhi ya team kiba wapo wanaompigia kura Daimond tuendelee kumpigia ashinde,Tanzania kwanza jamani mengine tuyaache
hatuihitaji matusi yametosha
mzurimie njoo na ile link watu waendelee kupiga kura,
Pigia kura Daimond,vanesa ,na sauti soul pia ,,pigien category zote msichoke jamanii.
MTVMAMA.Com
Nadhan nimeeleweka kadoda11 niitie hao wakenya kina NairobiWalker na wengine
Lingine tuacheni chuki haijengii

Madam usipaniki..

Watanzania ni wapuuzi sana wakati mwingine, wanayemchukia hana hata mpango nao. Hawana any reasons za kufanya watakavyo.

Watanzania tuna visasi vya kijinga sana...
 
Last edited by a moderator:
we subiri ifike hiyo siku na kweli utakaa uchi ubongo

Dina dai akimzidi davido kwa tuzo nakupa laki 2 cash. Mark my word. Tena akipata hata hiyo moja atakuwa amebebwa. May be anaweza pata ya kufutia machozi ila davido lazima atamfunika km ilivyokuwa kwa kiba.
 
httphttp://mama.mtv.com/voting/://, sie tunaendelea kupiga kura, Tanzania Kwanza
 
Aisee kweli watanzania tuna roho za korosho! Dah.... Sijawahi ona kitu kama hiki tangu niwe na akili..!!

Watanzania wana vinyongo vya kijinga sana aisee...

Ukimuuliza mtu kwanin anafanya hivyo atakuletea sababu za kipuuzi sana...
 
Dina dai akimzidi davido kwa tuzo nakupa laki 2 cash. Mark my word. Tena akipata hata hiyo moja atakuwa amebebwa. May be anaweza pata ya kufutia machozi ila davido lazima atamfunika km ilivyokuwa kwa kiba.

naweka kichwanii umesema utanipa laki mbili,haya tusubiriii sawa,huko hakuna cha kubebwaa unafikiri hizo ni za basata
 
Ndo maana watanzania hatuendelei ni wivu, roho mbaya, husda, unafki etc God have mercy!

Diamond acha hao wanawake wamcampainie davido maana wengine kawaita makombo, wengine kawa mix kwenye nyimbo zake, mi naona hawa wanawake ni vile wamepata namna ya kumjibu sasa ili naye apunguze kuongea ongea, waganda na wa south watampigia yy basi
 
Madam usipaniki..

Watanzania ni wapuuzi sana wakati mwingine, wanayemchukia hana hata mpango nao. Hawana any reasons za kufanya watakavyo.

Watanzania tuna visasi vya kijinga sana...

hayaa tuendelee kupiga kura jamani
 
Vote for davido...wizkid....Vanessa....saut Sol... Eti uzalendo ?? Wakati mnamtukana wema over zari mganda ambaye kutwa kuwadharau hamkujua kuwa kuna uzalendo??? Kwa wanaija walivyo wengi jumlisha team kiba wema na jokate Akishinda domo nakaa uchi stand ya ubungo siku nzima...

Na utabakiaga hivyo hivyo. Unashindwa kutenganisha biashara na personal feelings zako. Unashindwa kutofuatisha maslahi ya Tanzania na feelings zako za n-g-o-no.:becky:
 
Shikamoo kaka. Samahani lakini. Haya mambo unayoyaona hayajaanzia hapa. Ungekuwa unayajua yalipoanzia ungeshauri hizi team zivunjwe na sio kulaumu watu Wa upande mmoja. Huwa unafika kwenye post za diamond kiba na wema wanavyotukanwa as if wao ni paka wasio na faida yoyote? Yani Hata paka ana afadhali maana anaua panya.
Kwa mgomo huu kama dai na fans wake waana akili watajifunza na kubadilika

Marhabaa mrembo...! Mimi mtazamaji tu, sina uzoefu kabisa wala sijawahi kuwa na timu yoyote. KTMA ndo imefanya nianze kuingia huku, mara naona matabaka...kweli nimestaajabu kwa hizi chuki. Mpigieni basi mtz mwenzenu, then akipata ndio mumsute..!!!
 
naweka kichwanii umesema utanipa laki mbili,haya tusubiriii sawa,huko hakuna cha kubebwaa unafikiri hizo ni za basata

tunapinga. dimond akimzidi davido tuzo nakupa laki mbili kweli.davido akimzidi dai ndo basi tena laki mbili hutapata.
 
Marhabaa mrembo...! Mimi mtazamaji tu, sina uzoefu kabisa wala sijawahi kuwa na timu yoyote. KTMA ndo imefanya nianze kuingia huku, mara naona matabaka...kweli nimestaajabu kwa hizi chuki. Mpigieni basi mtz mwenzenu, then akipata ndio mumsute..!!!

naomba uwe shahidi yangu Mrembo by Nature kaniahid kua Daimond akibeba tuzo hata moja atanipa laki mbili,teh teh,siku nikianza kumdai nitakuita,tukishindwa basi
 
Last edited by a moderator:
tunapinga. dimond akimzidi davido tuzo nakupa laki mbili kweli.davido akimzidi dai ndo basi tena laki mbili hutapata.

kwa Davido Tu au na wengine akiwapiga chini akanyakua tuzo??ngoja nipige kura zaidi nipate laki mbili hiyo
 
Na utabakiaga hivyo hivyo. Unashindwa kutenganisha biashara na personal feelings zako. Unashindwa kutofuatisha maslahi ya Tanzania na feelings zako za n-g-o-no.:becky:

kaka/dada i thought tunajadili kwa ustaarabu mbona hivyo ndugu?? toka jana nilijua uko tofauti na wale team dimond wengine watukanaji kumbe hata wewe umo? y dont u prove us wrong kwamba nyie sio wa matusi na dharau kama tunavyowaona??
 
Back
Top Bottom