Ni hivi mnatutesa Sana na mnatuumiza Sana kuacha kumpigia kura Mtanzania mwenzenu na kuwapigia kura wanaija,kisa na sababu zisizo za msingi sasa ni hivi pigieni hao wanaija,ila ikitokea siku Kiba nae akienda kushindania tuzo za Africa na wasanii wakubwa na sie tutalipa kuwapigia kura wengine tutamuachaaa Kina
Na ole wenu ,ole wenu tutawaona
Nasema tutalipa sie team Diamond
Yaoneni sura zenu mbayaaa mfyuuuuuuuuuuu ,
Jamani kwa wenye mapenzi mema na diamond tuendelee kumpigia kura najua baadhi ya team kiba wapo wanaompigia kura Daimond tuendelee kumpigia ashinde,Tanzania kwanza jamani mengine tuyaache
hatuihitaji matusi yametosha
mzurimie njoo na ile link watu waendelee kupiga kura,
Pigia kura Daimond,vanesa ,na sauti soul pia ,,pigien category zote msichoke jamanii.
MTVMAMA.Com
Nadhan nimeeleweka
kadoda11 niitie hao wakenya kina
NairobiWalker na wengine
Lingine tuacheni chuki haijengii