Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

AKIJUA katiba pendekezwa ina utata mwanzo mwisho aliimba wimbo, call it KIBWAGIZA cha watanzania tupige kura ya ndiyo.HAPO MOND NI MZALENDO AU NI WALEWALE ....

Mambo ya siasa hapa ya nn tena.
 

Mhhhh!!! wakati mwingine nifah nahisi wewe ndo Wema sepetu mwenyewe orijinali.
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya siasa hapa ya nn tena.

uzalendo inatakiwa iwe kwa kila jambo
huwezi kuunga mkono katiba mbovu then ujiite mzalendo.KAIMBA KIBWAGIZO cha tupige kura ya ndio katiba mpya ambayo italififisha taifa kwa miaka 50 ijayo na hapa munamuita mzalendo?????...uzalendo au uchumia tumbo????

MASLAHI ya taifa kwanza na sio individuals...kwa kuwa yeye alianza kujali maslahi yake kwa shibe ya tumbo yake akatushawishi TUPIGE KURA YA NDIO basi hata sasa tuacheni tumpigie davido kwa raha zetu
 
Dah..ngoja kwanza niangalie mwezi kama umeandama.........
 

Mwisho wa cku we ndo utajua kuhusu hyo katiba upige ndio au hapana inawezekana hana uelewa sana kuhusu hyo ye kapiga mpunga wake tu. Usimhukumu kijana mtaftaji tu yule
 
Mwisho wa cku we ndo utajua kuhusu hyo katiba upige ndio au hapana inawezekana hana uelewa sana kuhusu hyo ye kapiga mpunga wake tu. Usimhukumu kijana mtaftaji tu yule

Ila kweli leo mmekuwa wapole ntawafikiria
akishinda ashukuru asije tena kudharau kama zile za ktma ambazo nilimpigia na mpaka sasa hajashukuru
 
Ila kweli leo mmekuwa wapole ntawafikiria
akishinda ashukuru asije tena kudharau kama zile za ktma ambazo nilimpigia na mpaka sasa hajashukuru

Hahaha mbona m nimepiga sana ktma lkn hajashukuru binti. Kua na kifua hahah dont expect mch frm ppl..
 
Mhhhh!!! wakati mwingine nifah nahisi wewe ndo Wema sepetu mwenyewe orijinali.

Kweli wewe hunijui kabisa, nahisi umeanza kunijua wakati huu.
Mimi huyo wema ninayemponda kila wakati leo hii niwe yeye tena?
Usipende kujijengea picha kutokana na comments mkuu, ona sasa umeingia chaka!
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa msiba

Wakati unaomboleza uwe unavote pia . Umuombe na Dinazarde pia a vote kwa davido asipoteze Kura kwani dai hapa hachomoki


hhhhbhaaaaa siwapendi woteee sasa HIV team kiba yeyote yule siwapendiiii mpaka hapo baadaeee yaan kama Li nifah linaniudhii,,nyie ngojeni Tu tulisheni ndimu mpaka basiii zamu yenu inakuja geniveros nae sikupendi tuuu
 
Last edited by a moderator:
Asante mpenzi.
Huyo jirani yangu namuonea huruma kwa wakati huu, ushoga wetu unaishia umbeani tu ila huku chenga tupu.


yaan Jana nilichekaa aiseee ile ligi ya usiku ila nifah nawe utupunguzie dozi banaa ,kura mshakataa kutupigia basi mtupumzisheee na sie tuna roho jamanii,halaf nahis we ni rafiki yangu mmoja HIV nae ananitania haswaa maana ni team kiba kidogo nimuambie we ni nifah wa jf nini maana kanikomalia kisengee,mnaniudhiii
 

Mashabiki wa diamond pia mnachochea hii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…