Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
yaan Jana nilichekaa aiseee ile ligi ya usiku ila nifah nawe utupunguzie dozi banaa ,kura mshakataa kutupigia basi mtupumzisheee na sie tuna roho jamanii,halaf nahis we ni rafiki yangu mmoja HIV nae ananitania haswaa maana ni team kiba kidogo nimuambie we ni nifah wa jf nini maana kanikomalia kisengee,mnaniudhiii
Mashabiki wa diamond pia mnachochea hii kitu.
Wewe ulianza hivi....
Halafu huyu kenge akatomboka hivi
↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓
cc geniveros
Hata wewe?
Kila siku hapa unakaa na sisi tunamchambua Wema leo kuwa upande wa Kiba tumekua mashabiki wa Wema?
Lols nirudishie pesa zangu za Sangara sitaki tena kuagiza samaki kutoka kwako
Nimekuchukiaaaa😀😀😀😉
Hahahahaaa, jamani nimecheka balaa.
Ile ligi ya usiku wale wajinga ndio wanaosababisha niendelee kuwachapa.
Ila kwa sasa ngoja niwapumzishe niende kwenye majukwaa mengine, wakinianza tu show inaendelea.
Wala sio mie mwaya, maana hakuna ninayemtania hata mmoja nje ya JF.
mavi yakooo...na nnakuja mwanza mpk nifike mwako ww msukuma
Unaunizigi kwa Wema ila leo nimekupata.....Basi hapa nashushia na kitorondo wakati namvotia skelewu
kwakweli nendeni Tu siasanii mi nitakufa bureee jamanii
mavi yakooo...na nnakuja mwanza mpk nifike mwako ww msukuma
mxiuuuuuuu....!!
ngoja nkampigie davido kwanza...
Hahahahaaa mimi nikitaka kuondoka naitwa sasa tatizo!
tena uje nakumwagia maji ya Moto mamaeeeeee urudi kwa ngosha Wako umebabukaaa,hasa uje na nifah nae nitammwagia Moto kabisaaaa,,yaan mim nahama jf kabisaa hhhhaaaa
Hahahahaaa ila una roho ngumu shoga yangu balaa.
Wenzio wote wamejificha, kwakweli mimi nakuacha tu kwa sasa upumzike kidogo.
lakin mwezi mtukufu SI umekaribiaa banaa kaa kimya tu