Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
naomba uwe shahidi yangu Mrembo by Nature kaniahid kua Daimond akibeba tuzo hata moja atanipa laki mbili,teh teh,siku nikianza kumdai nitakuita,tukishindwa basi
kwa davido ...let us be specific
Mrembo hana tatizo, naamini kabisa akishinda diamond nawe utakuwa umejishindia laki mbili. Japo kwa hii trend nahisi huyo mnaija atashinda tu!!
Mama umependeza hapo kwenye avatar!😱:sly:
danya upo sahihi kabisa, mtu ukimwambia Ukweli anaona tuna mtusi....Hello Leo nataka niseme kitu nilicho kiona kinaendelea siku mbili hizi kuhusu diamond
Most of watanzania huwa hawapendi maendeleo ya MTU ukiwa juu sana huwa hawachelewi kusema unajikuta unaringa na Mara nyingi wenye akili kama hizo maisha yao ni tegemezi
MTU unakuja kuandika uzi hapa na kisimu chako cha SMART KIKA eti tuungane kumpigia kura davido ili diamond asipate hio sio akili na ukweli watu wanaunga mkono wote hao maisha yao ukiangalia ni wale hohe hahe
Unafika hatua unachukia maendeleo ya mtanzania mwenzako tena kipaji hata sio chako inakuja kweli
MTU unae mchukuia na kumponda kwa pesa alio nao sahizi awaweza Lea kifamilia chenu hicho ambacho kimewapandikiza roho mbaya miaka 1000 Leo hii unatokwa na povu eti tusimpigie kura ww ni nani hapa Tanzania hata balozi wa nyumba kumi hakufaham
Eti wadada nao wanakuja mnata uzalendo eti diamond aje kula nyie hamjui hata kuoga eti sio mzalendo kweli? Hadi mapenzi ya mtu mnaingilia kati hivi hizo roho zenu za korosho ndo maana mnatoswa na wanaume wanamua kutoka nje unajiabisaha kwenye mitandao kumtaka diamond aoe Tanzania wewe ni nani?
Yaani they talk non sense....... Sijui unajiita team nani,cjui team nani nacho jua wachezaji wa kila timu hulipwa ww ndugu povu linakutoka eti Mimi team fulani akati huyo MTU hata Ku like comment ako hajawahi,hajui hata kama una exist
Unakuja hapa eti diamond bila sisi asingekuwa pale wewe ni nani ndo ulienda kumchukua tandale ukamlipia nauli ya kwenda south wewe kupiga show? We ndo ulimpeleka tuzo za BET...wewe ndo ulimpa nauli ya kwenda kuperform tuzo za CAF? Halafu Leo mbio mbio kuja hapa diamond bila sisi asingekuwa pale katudharau kuoa Uganda kweli? Ofcoz kipaji chake na kujituma kwake kumemfanya awe pale acha kutoka na povu
Mtu Chanel ya BET imepiga nyimbo ake siku NNE imempa miloni 46 ambazo ww tangu uzaliwe na utakufa hata nusu ake hutafikia Leo uje na kelele zako hapa
Mwisho mm huwa nawaangalia tu humu na kusoma comment zenu eti tusimpigie kura ooh ili tumkomoe unamkomoa MTU alive Kwisha toka wewe hata ulio soma nao washa kusahau!
Acheni ushamba wa kijijini kwetu kama hupendi kumpigia kura we kaa kimya sio uje kuhamasisha watanzania hapa eti wasimpigie
VOTE FOR DIAMOND
VOTE FOR VANESSA
kwenye ile best male eee sawa,sio kwenye category zote alipo Daimond hhhheeeee
Jukwaa lako lipi ? Una jukwaa humu. Majukwaa yote ya maxence mello and Co. Jitu halilipi hata kodi halafu linajimilikisha jukwaa kwahiyo ulikuja huku kutingisha kiberiti au? Ulipoona njiti zimejaa unajifanya kuaga na matusi mburukenge wewe.
kwenye ile best male eee sawa,sio kwenye category zote alipo Daimond hhhheeeee
Iwapo utampigia kura Davido ili eti kumkomoa Diamond wewe akili zako na mbuzi hazitofutiani sana. Nahisi mbuzi atakuwa amekuzidi kidogo sababu mbuzi pamoja na kuwa mjinga bado hawezi kufanya ambacho wewe unaenda kufanya:becky:. Mnasema eti haheshimu fans wake. Kuwaambia msiingilie maisha yake ndo kutowaheshimu? Wengi ni wanafiki mnataka aishi mnavyopenda nyie awe f-a-l-a f-a-l-a kila siku. Afanye mziki lakini asipate hela aendelee kubaki hapo hapo nafikiri ndo kitawapa raha zaidi. Unafiki na ushetani tu umewajaa.Hata kufikiria hamfikirii hii kampeni tunayofanya ina manufaa ganikwa maisha yenu binafsi. Ukiona mtu anafurahia kuanguka kwa mwingine jua hivyo ndo vi ajent vya shetani hapa duniani ndo anavitumia kuangusha wengine
Ongea kwa facts acha blah blahheee nani kwakambia mbuzi wajinga
uliona wapi mbuzi wanaingiliana kinyume na maumbile kama wanadamu wa leo?????mbuzi mjanja tena sana hawalani tigo
Vote for davido...wizkid....Vanessa....saut Sol... Eti uzalendo ?? Wakati mnamtukana wema over zari mganda ambaye kutwa kuwadharau hamkujua kuwa kuna uzalendo??? Kwa wanaija walivyo wengi jumlisha team kiba wema na jokate Akishinda domo nakaa uchi stand ya ubungo siku nzima...
Nacheka km mazuri hata mm ningekuwa wema au jokate ningempigia kura davido kwa kweli, hivi nasubutuje kupiga kura mtu ambaye kutwa ananiimba na kutaja list yake yote aliyokuwa nayo wakati yuko nami? Na swala la kuwa jokate ni makombo je sasa anaanzaje ku mpigie kura dimondi ilhali kinywa chake kutwa ni kashafaaaa? Davido hebu chukua kula hiyo
Hahahaaaa tutaenda wote mamy mimi nitakunya ubungo vifungu vifungu mchana kweupeee
Team chibu wapo ICU, chezea kiba wewe