Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Boss wao huyu jaman atusaidie basi na kupigia kura ukawa etii boss lady
 
Attachments

  • 742f710e-094e-4d06-98da-3c05f5b016ab_TapatalkEditedImage.jpg
    66.4 KB · Views: 129
Boss wao huyu jaman atusaidie basi na kupigia kura ukawa etii boss lady

Acheni watu wapige kura buaaana sidhani ka Wema ana wa force kupiga kura ni wao na bundle zao.
Ombeni mpigiwe kura Wema mna mnyamba bureeee. Hafu michirizi huwapata wanawake wengi hata wasio tumia mikorogo.
 
Nimeshafanya yangu. Naruhusiwa kurudia rudia au moja tu inatosha.
Tusipojiinua Watz wenyewe nnanim atatuinua?

Tunapoongelea utanzania wetu bifu tunatupa kuleeee

Unaweza kurudia na kurudia kwa kila kipengele hadi ikwambie kura za leo zinatosha rudi kesho kuendelea.

unabonyeza VOTE kiwindow kikija unabonyeza X unabonyeza tena VOTE na kuendelea
 
Acheni watu wapige kura buaaana sidhani ka Wema ana wa force kupiga kura ni wao na bundle zao.
Ombeni mpigiwe kura Wema mna mnyamba bureeee. Hafu michirizi huwapata wanawake wengi hata wasio tumia mikorogo.

sijazuia msipige kura au wasipige kura kwa yeyote
Kuhusu hiyo michirizi sio mim nilieandika,alieandiks ni ulingoni yupo insta
 
Unaweza kurudia na kurudia kwa kila kipengele hadi ikwambie kura za leo zinatosha rudi kesho kuendelea.

unabonyeza VOTE kiwindow kikija unabonyeza X unabonyeza tena VOTE na kuendelea

swadakta my dia,tuendelee kupiga kura
 
Nimwendo wa kuvote tu kelele za nini" diamond&Vanessa
 
Attachments

  • 1434399387495.jpg
    35.1 KB · Views: 64
Unaweza kurudia na kurudia kwa kila kipengele hadi ikwambie kura za leo zinatosha rudi kesho kuendelea.

unabonyeza VOTE kiwindow kikija unabonyeza X unabonyeza tena VOTE na kuendelea

Ahsante kwa maelekezo, ngoja tupige kura hadi tujishangae wenyewe
 
Mambo ya vijana walio ktk umri wa kubalehe haya!
 
Hata mimi nashangaa, chukulia mfano sisi mashabiki wa Kiba tuliopo humu tumeshawishiwa na wema kumpigia kura Davido?
Tena mimi nataka Wizkid ashinde na sio huyo Davido wanayesema.

Daaah nikikumbuka kipindi kile tulivokuwa tunajipinda kupiga kura tena matukio yalivyokuwa yameongozana kuanzia BBA, BET, MISS WORLD ila yaliyokuja kufuata sasa......aiseee hahahaa I choose to save my energy oooh! Washinde wasishinde watajua wao. Tena safari hii nataka waje wanilambishe ndimu kikweli kwelii (endapo wakishinda) sio nivote na ndimu nije nilambishwe oooh no!!!!

btw......kaWizkid ni kakali bhana tuacheni masihara.
Nakafagilia ile ilee
 
sijazuia msipige kura au wasipige kura kwa yeyote
Kuhusu hiyo michirizi sio mim nilieandika,alieandiks ni ulingoni yupo insta

Sasa huoni hyo comment na lengo lako LA kupost.
Sasa kupost Wema ili iweje kah.
 
sininapost nachojisikia jamani kama ambavyo wanaosema wanapiga kura wanapojisikia,Kuna tatizo?

Hata mi nilitoa tu ushauri kiroho safi kabisa mana from different sources majority ya timu yenu mnalaumu Watanzania na maneno kibao tu. Mara chuki sijui nini? Ndo nikasema its a free country
 
Kuna tatizo kwaniiii!!!!!!!!!tunamiss kumpokea airpot hehee
 
Attachments

  • wp_ss_20150615_0024.png
    211.1 KB · Views: 84
Hata mi nilitoa tu ushauri kiroho safi kabisa mana from different sources majority ya timu yenu mnalaumu Watanzania na maneno kibao tu. Mara chuki sijui nini? Ndo nikasema its a free country

hata Mimi pia kiroho safi tu
 
Acheni watu wapige kura buaaana sidhani ka Wema ana wa force kupiga kura ni wao na bundle zao.
Ombeni mpigiwe kura Wema mna mnyamba bureeee. Hafu michirizi huwapata wanawake wengi hata wasio tumia mikorogo.

heheheeeeee wamdiss kwa jingine baaasii kila siku michirizi.....nani asiyejua kuwa Wema ana michirizi????
Halafu mie mwanamke anayeshangilia binti sepetu kuchekwa michirizi yake naona kama anajitukanisha mwenyewe pamoja na wanawake wenzie maana nina imani kabisa hata huku ukiwafunua hao wanaomcheka Wema lazima wanayo tu labda mmoja au wawili kati ya kumi ndo watakosa!

Nawasihi sometimes wawe wanaweka akiba ya maneno japokuwa its a free country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…