KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
Sio kwa kuku miss huku
Yaani hata kidogo.
Upo mammy, huu ubusy wa dunia hata hatukumbukani mwaya. Mzima lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa kuku miss huku
Yaani hata kidogo.
Upo mammy, huu ubusy wa dunia hata hatukumbukani mwaya. Mzima lakini?
Boss wao huyu jaman atusaidie basi na kupigia kura ukawa etii boss lady
Nimeshafanya yangu. Naruhusiwa kurudia rudia au moja tu inatosha.
Tusipojiinua Watz wenyewe nnanim atatuinua?
Tunapoongelea utanzania wetu bifu tunatupa kuleeee
Acheni watu wapige kura buaaana sidhani ka Wema ana wa force kupiga kura ni wao na bundle zao.
Ombeni mpigiwe kura Wema mna mnyamba bureeee. Hafu michirizi huwapata wanawake wengi hata wasio tumia mikorogo.
Unaweza kurudia na kurudia kwa kila kipengele hadi ikwambie kura za leo zinatosha rudi kesho kuendelea.
unabonyeza VOTE kiwindow kikija unabonyeza X unabonyeza tena VOTE na kuendelea
Yaani! Sio kwa ubusy huu.
Nipo my dear,mzima kabisa
Unaweza kurudia na kurudia kwa kila kipengele hadi ikwambie kura za leo zinatosha rudi kesho kuendelea.
unabonyeza VOTE kiwindow kikija unabonyeza X unabonyeza tena VOTE na kuendelea
Hata mimi nashangaa, chukulia mfano sisi mashabiki wa Kiba tuliopo humu tumeshawishiwa na wema kumpigia kura Davido?
Tena mimi nataka Wizkid ashinde na sio huyo Davido wanayesema.
sijazuia msipige kura au wasipige kura kwa yeyote
Kuhusu hiyo michirizi sio mim nilieandika,alieandiks ni ulingoni yupo insta
Sasa huoni hyo comment na lengo lako LA kupost.
Sasa kupost Wema ili iweje kah.
sininapost nachojisikia jamani kama ambavyo wanaosema wanapiga kura wanapojisikia,Kuna tatizo?
Hata mi nilitoa tu ushauri kiroho safi kabisa mana from different sources majority ya timu yenu mnalaumu Watanzania na maneno kibao tu. Mara chuki sijui nini? Ndo nikasema its a free country