Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Hivi vote ni ngapi mbona mi na vote tu hata hainiambii basi hee
 
Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond.

Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia Wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake Diamond.

Ila tu nisisitize; Jokate, Wema na Mange, nyie na washabiki wenu mpigien Davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie Diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.

Na naona Vanesa nae ashaanza kuingia team Wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha Diamond, badilika dada.

Vote for Diamond ana Vanesa, MTV Awards.

Tatizo la wema ni ujeuri http://theinnovationhouse.blogspot.com/2015/06/wema-sepetu-i-love-ali-kibabut-i-still.html?m=1
 
Tena si balaa ndogo, ni hali ya kusikitisha sana

Si tu ya kusikitisha bali ni ya aibu sana.

Sikutegemea hata kidogo kuwa chuki dhidi ya kijana wa Kitanzania inaweza kufikia kiwango hiki tena kutoka kwa Watanzania wenzake!
 
Ulisema wewe mwenyewe Nyani, "Miafrika ndivyo ilivyo" inashangaza kuwaona Wakenya kwa kujivunia Uafrika Mashariki wao wako tayari kumsupport DP lakini baadhi ya Watanzania wamejaa chuki za kutisha ambazo hazihusu kitu na wako radhi kumuona yeyote yule anashinda lakini si DP na wao hili likitokea roho zao zitakuwa nyeupee. Ni jambo la kustajaabisha sana lakini ndio hali halisi.

Si tu ya kusikitisha bali ni ya aibu sana.

Sikutegemea hata kidogo kuwa chuki dhidi ya kijana wa Kitanzania inaweza kufikia kiwango hiki tena kutoka kwa Watanzania wenzake!
 
Si tu ya kusikitisha bali ni ya aibu sana.

Sikutegemea hata kidogo kuwa chuki dhidi ya kijana wa Kitanzania inaweza kufikia kiwango hiki tena kutoka kwa Watanzania wenzake!


Hawajui tu kuwa kitendo cha kuwa nominated ni bonge la achievement na recognition kubwa kwa watanzania. Tuna tatizo si kidogo...!
 
YEYE MOND ANAIPENDA nchi yake????angeimba kibwagizo cha kuwataka watanzania kupiga kura ya ndio ya KATIBA MPYA INAYOLILIWA KUWA MBOVU????au hajakisikia hiki kibwagizo uhuru fm????

Anavuna alichopanda, uzalendo una namna nyingi ya kuuelezea

come on my sister........ulicokiandika hapo hakina sense yoyote
 
Piga mara nyingi kadri uwezavyo #TeamTanzania bifu zisizo na kichwa wala miguu tupa kuleeee na kama una ndugu, jamaa na marafiki warushie hiyo link na wao wafanye yao ili kumnyanyua Mtanzania mwenzetu.

Huo ndio ukweli BAK, mi nampenda sana Kiba, ila kama kuna mtanzania anatuwakilisha vema kidunia kwa nini tusimpe credit zake?
Utanzania kwanza. Naendelea kuvote
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama watz wanaoacha kumpigia Diamond na kuwapigia wapinzani wake ndio watakaomkosesha tuzo. Nadhani watu wenye chuki hata Nigeria wapo kama hawa wakwetu na wao watakuwa busy kumpigia diamond
 
Tuliza kengele huko usinizoeee nitakunyea utosini mavi yashuke na wew. Mfyuuuuuuuu

Hahahaha shosti tuvote mwaya. Hawa moto wao ni wiki hii tu baada ya hapo kushney... Dharau zikizidi kinachofwata ni jeuri. Ngoja tulete jeuri.
 
Back
Top Bottom