Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Piga mara nyingi kadri uwezavyo #TeamTanzania bifu zisizo na kichwa wala miguu tupa kuleeee na kama una ndugu, jamaa na marafiki warushie hiyo link na wao wafanye yao ili kumnyanyua Mtanzania mwenzetu.

Nimeshafanya yangu. Naruhusiwa kurudia rudia au moja tu inatosha.
Tusipojiinua Watz wenyewe nnanim atatuinua?

Tunapoongelea utanzania wetu bifu tunatupa kuleeee
 
Acha kina Eric na wengine watusaidiee banaaaa
 
Reactions: BAK
Piga mara nyingi kadri uwezavyo #TeamTanzania bifu zisizo na kichwa wala miguu tupa kuleeee na kama una ndugu, jamaa na marafiki warushie hiyo link na wao wafanye yao ili kumnyanyua Mtanzania mwenzetu.


Nina group whatsapp nna rafiki pia tunapiga kura balaaaa,,, yaan kila sasa twapiga kura TEAMtanzania
 
Last edited by a moderator:
Mwenzenu alipiga kampeni tu ila nyie cha ajabu mnaanza kumnyanyapaa na maumbile yake.
Kwani hakuna njia yenye mnaweza fanya kuboost hiyo kampeni yenu?


soma alieandika hapo mi nimerusha Tu teh teh teh,hayo mengine siyajui
 
Hatariii hatariiiii kubwaaa jamani
 

Attachments

  • wp_ss_20150616_0001.png
    157.7 KB · Views: 94
  • wp_ss_20150616_0002.png
    168.5 KB · Views: 100
Sankoro sankoro sankoro tiiiii kama ronaldoo, hii sijui ni mitoso AMA neneeee
 

Attachments

  • wp_ss_20150615_0026.png
    184.8 KB · Views: 92
Hahaha kura zenu haziwezi mtosha diamond hata mpige na bata wenu, kuku, mbuzi, ng'ombe, beki tatu na ukoo wote. Lazima apate adabu. Nigeria wako milioni karibia 200, asilimia 50 km sio 70 wana access na net so sioni possibility ya domo kaya kuchomoka.... I'm sorry to say bora hyo bundle yenu ya mafungu mtunze musomee email na pm.
 
:yo: :yo: :yo: I am very proud of your efforts, way to go #TeamTanzania AKA #TeamUzalendo uzandiki tupa kuleeee! haihusu kitu kumfanyia fitina za hali ya juu Mtanzania mwenzetu wakati hana kosa lolote lile.

Nina group whatsapp nna rafiki pia tunapiga kura balaaaa,,, yaan kila sasa twapiga kura TEAMtanzania
 
soma alieandika hapo mi nimerusha Tu teh teh teh,hayo mengine siyajui
Wewe ndiye umeyaleta huku huyo mwengine sijamuona.Kwani mbona Dai anapromotiwa na wanawake wengi tu iweje kutopromotiwa na Wema ndo ilete shida?! Acheni hizo! Pigeni kampeni achani kumnyanyapaa Wema or else wanyambueni wote walioacha kumsupport wakawakampenia watu wengine si kumuandama Wema peke yake.
 


unanipangia cha kupost?
 
unanipangia cha kupost?

Nikupangie cha kupost mie nimekuwa nani?
Kama ambavyo huwezi kunipangia cha kukwambia ndivyo ambavyo na mi siwezi kukupangia cha kupost au we ulitaka nisemeje ?

Najua umenielewa ila basi vile makusudi na jeuri binadamu tumeumbwa navyo tutafanyaje sasa! Kazana maana ni sifa, mie kikaragosi nisijekupunguzia bichwa buree!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…