Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshafanya yangu. Naruhusiwa kurudia rudia au moja tu inatosha.
Tusipojiinua Watz wenyewe nnanim atatuinua?
Tunapoongelea utanzania wetu bifu tunatupa kuleeee
Piga mara nyingi kadri uwezavyo #TeamTanzania bifu zisizo na kichwa wala miguu tupa kuleeee na kama una ndugu, jamaa na marafiki warushie hiyo link na wao wafanye yao ili kumnyanyua Mtanzania mwenzetu.
Mambo ya vijana walio ktk umri wa kubalehe haya!
Heheeeeeeeeee mi repota Tu jamanii
Mwenzenu alipiga kampeni tu ila nyie cha ajabu mnaanza kumnyanyapaa na maumbile yake.
Kwani hakuna njia yenye mnaweza fanya kuboost hiyo kampeni yenu?
Sankoro sankoro sankoro tiiiii kama ronaldoo, hii sijui ni mitoso AMA neneeee
Nina group whatsapp nna rafiki pia tunapiga kura balaaaa,,, yaan kila sasa twapiga kura TEAMtanzania
Wewe ndiye umeyaleta huku huyo mwengine sijamuona.Kwani mbona Dai anapromotiwa na wanawake wengi tu iweje kutopromotiwa na Wema ndo ilete shida?! Acheni hizo! Pigeni kampeni achani kumnyanyapaa Wema or else wanyambueni wote walioacha kumsupport wakawakampenia watu wengine si kumuandama Wema peke yake.soma alieandika hapo mi nimerusha Tu teh teh teh,hayo mengine siyajui
Wewe ndiye umeyaleta huku huyo mwengine sijamuona.Kwani mbona Dai anapromotiwa na wanawake wengi tu iweje kutopromotiwa na Wema ndo ilete shida?! Acheni hizo! Pigeni kampeni achani kumnyanyapaa Wema or else wanyambueni wote walioacha kumsupport wakawakampenia watu wengine si kumuandama Wema peke yake.
unanipangia cha kupost?