Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Safi sana nahisi inakuingia vizuri mno but I will and continue voting for vanesa davido and wizkid mtu.but ungekuwa kidogo na kashule ungejua the meaninh ya tu respect locally in order to win international so akili kubwa hizo..

Best live mpigien flava pls ..... Punguza vote za Mr ropo ropo
 
Preta naomba kwenye category ya best like live mpigie flava. Pale dai hayupo. Name colabo mpigie davido na uhuru

Napiga....usijali........wewe leta wote wanaohitaji kelele........wakimya tunaachana nao.............
 
Last edited by a moderator:
Hahaha tunakupeleka kibra hivyo
 

Attachments

  • 1434457553204.jpg
    1434457553204.jpg
    31.9 KB · Views: 176
Mkuu katika hili naomba unisamehe tu, sina jinsi kwakweli!
Huu ndio muda wangu wa kuumiza na wengine.Wiki iliyopita diamond alivyopata hizo nominations huko kwakweli nililiona jukwaa chungu kupita maelezo.
Matusi na mbwembwe zilikua nyingi sana, hata mimi nina moyo naumia pia.
Kwahili nimepoza machungu na mimi, kiroho safi.
Nashukuru kwa kutambua hilo maadam umesema naamini hasira zimeisha naomba tumuunge mkono kwa hili maana hizi tuzo ni za Nje bado ana mengi ya kujifunza. Na kama ni adhabu bhasi mmeshampatia
 
Yaani nisamehe bure my best, na wewe siku hizi hunishtui mpenzi ukisika yale mambo mazuriiiii
Naona hapo una mwana wa darisalama.

KURA UMEPIGA?

Mie na Mwana damdam.

Unajua kuna siku nilikuja whatsApp nikakuta una siku nyingi hujaingia nikahisi utakuwa busy sana.
Alafu nilikuwa sijui kama na we ni mdau wa muziki nimgeshakuita.

Hahahaaa mie kwenye kura mtanisamehe tu kwakweli ukipiga wewe dada zinatosha.
Najiandaa kuja kulambishwa ndimu kiuhalali u know nilizompigiaga mwanzo pia zilimtosha
 
Hahahaha adabu atashika hata tukiwa ma...honey...thi
 

Attachments

  • 1434477138430.jpg
    1434477138430.jpg
    39.4 KB · Views: 157
  • 1434477147476.jpg
    1434477147476.jpg
    46.8 KB · Views: 150
Mie na Mwana damdam.

Unajua kuna siku nilikuja whatsApp nikakuta una siku nyingi hujaingia nikahisi utakuwa busy sana.
Alafu nilikuwa sijui kama na we ni mdau wa muziki nimgeshakuita.

Hahahaaa mie kwenye kura mtanisamehe tu kwakweli ukipiga wewe dada zinatosha.
Najiandaa kuja kulambishwa ndimu kiuhalali u know nilizompigiaga mwanzo pia zilimtosha


Hahahahahahaaaaaaa, ndogo wango we ngumuuuuuu, hutaki kabisa dangote apate award jamani.

Mgeee tu hata mbili tu.....

Kweli kuna kipindi nilikuwa busy jeeee?

Mziki naupenda saana tu. Sema uzee hnao unaingia ku dansi sijui siku hizi nasikiliza tuu
 
Hahahahahahaaaaaaa, ndogo wango we ngumuuuuuu, hutaki kabisa dangote apate award jamani.

Mgeee tu hata mbili tu.....

Kweli kuna kipindi nilikuwa busy jeeee?

Mziki naupenda saana tu. Sema uzee hnao unaingia ku dansi sijui siku hizi nasikiliza tuu

hahahaaa eti uzee, wakiitwa wazee na we utasogea??
Ngoja tu utakufikia si unautaka!

heheh sasa vikura viwili vitasaidia nini si bora kuacha tu jameni?? lol
Mpigie tu wewe mi niko nasafisha ulimi kwa ajili ya kulamba ndimu tena nakata na kucha kabisa mahsusi kwa kuvunja maapple u know
 
Wanajamvi inasikitisha kwamba kuna kampeni chafu zimeanzishwa na wale wanaodhaniwa kuwa ni wabaya au wapinzani wa Diamond Platnumz ambaye anawania tuzo za MTV-AMA zitakazotolewa Afrika Kusini hivi karibuni. Inasikitisha kwa sababu kwa namna yoyote ile, msanii huyu 'anaiwakilisha nchi' huko kwa sababu anatajwa kuwa ni msanii kutoka TANZANIA. Na bila shaka anaipeperusha bendera ya Taifa huko. Wabaya wake sasa wameanzisha kampeni ya kuwapigia kura wapinzani wake Diamond, hasa Davido. Nadhani chuki ya namna hii haisaidii coz tofauti zao zingeishia katika masuala ya ndani lakini mmoja wao akitoka nje wangezika tofauti zao. Sio lazima wao kumpigia kura lakini angalau wasingethubutu kampeni chafu dhidi ya Mtanzania mwenzao. Haya ni maoni yangu sijui wanajamvi?

Source: IG; Zarimondthebest-usiku huu.
 
Mkuu tafuta kazi za kufanya diamond anafight maisha yake we hangaika na yako,halafu kumpigia kura ni uamizi wa mtu
 
Back
Top Bottom