Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Safi sana nahisi inakuingia vizuri mno but I will and continue voting for vanesa davido and wizkid mtu.but ungekuwa kidogo na kashule ungejua the meaninh ya tu respect locally in order to win international so akili kubwa hizo..
Hehehh nicheke mie!
Hahaha tunakupeleka kibra hivyo
Nashukuru kwa kutambua hilo maadam umesema naamini hasira zimeisha naomba tumuunge mkono kwa hili maana hizi tuzo ni za Nje bado ana mengi ya kujifunza. Na kama ni adhabu bhasi mmeshampatiaMkuu katika hili naomba unisamehe tu, sina jinsi kwakweli!
Huu ndio muda wangu wa kuumiza na wengine.Wiki iliyopita diamond alivyopata hizo nominations huko kwakweli nililiona jukwaa chungu kupita maelezo.
Matusi na mbwembwe zilikua nyingi sana, hata mimi nina moyo naumia pia.
Kwahili nimepoza machungu na mimi, kiroho safi.
Na utacheka mpaka kingo za mdomo zipasuke. The teh
Yaani nisamehe bure my best, na wewe siku hizi hunishtui mpenzi ukisika yale mambo mazuriiiii
Naona hapo una mwana wa darisalama.
KURA UMEPIGA?
Hahahaha adabu atashika hata tukiwa ma...honey...thi
Mie na Mwana damdam.
Unajua kuna siku nilikuja whatsApp nikakuta una siku nyingi hujaingia nikahisi utakuwa busy sana.
Alafu nilikuwa sijui kama na we ni mdau wa muziki nimgeshakuita.
Hahahaaa mie kwenye kura mtanisamehe tu kwakweli ukipiga wewe dada zinatosha.
Najiandaa kuja kulambishwa ndimu kiuhalali u know nilizompigiaga mwanzo pia zilimtosha
Hahahahahahaaaaaaa, ndogo wango we ngumuuuuuu, hutaki kabisa dangote apate award jamani.
Mgeee tu hata mbili tu.....
Kweli kuna kipindi nilikuwa busy jeeee?
Mziki naupenda saana tu. Sema uzee hnao unaingia ku dansi sijui siku hizi nasikiliza tuu
Ukivote kwa email naona haina mwisho unavote tu