Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Kwa hizi kampeni chafu kwa diamond inafanya hata mashabiki wa ali kiba wamuhame sasa.
 
Mimi ni mzalendo na naipenda nchi yangu,kura yangu imeenda kwa dada yangu Vanessa Mdee a.k.a Vee Money.I like her,she is a true talent and she deserves this award.
 

wabongo ni wangese kinyama! yan et wameumia dangote kumwacha team makombo..!
 

Hahahahaaaaa....yaani umenichekeshaaaa, usilambe ndimu tu, tafuna na maembee.....

Kweli hutakiu uani na team........................umeamua kuwa kauzu nimekushindwa.

Mi kilaziku napiga mwaego. Mzalendo kindakindaki
 
Huyo anaejiita shangazi inaonekana hawezi kufikiri hasa hiyo point yake namba 4 kwamba usipompigia kura mtu haimpunguzii chochote kile katika mafanikio ya mtu, sasa unapompigia mtu mwingine manake si umempunguzia chances za kushinda, sijui ameishia darasa la ngapi huyo, kipindi davido ana beef na wiz kid sidhani kama wanaijeria walifikia the level of this hatred to either of the two, lakini mwisho wa siku mond bin laden atafanya yake kwa uweza wa muumba, najiuliza huyu jamaa kawakosea nini wanaojiita team wema, jokate na kiba huyu jamaa akishinda naona watu watatamani wazikwe hai, ukweli ni kwamba ali kiba anajua kuimba vizuri sana lakini hawezi kufika level za kimataifa sababu hakua na uwezo wa kufanya hivyo alivyopata nafasi....bluetech.....
 

Tatizo wagumu kung'amua wamekalia fitna na majungu ukoko tu hahahaahahah

Weraaaaaa brother

Its time for mondi bin laden.
 


Hua unanifurahishaaa balaa Una mapoint jf nzima sijaona
 

Kiba anaimbia chumbani wakati mwenzie anafanya biashara wapi na wapi.
 
BEST MALE

- Diamond Platnumz (Tanzania),
- Wizkid (Nigeria), Davido (Nigeria),
- AKA (South Africa) na Sarkodie (Ghana):

Sina kabisa sababu ya kumpigia kura huyo kijana.Kila nikivungua redio nawasikia yeye pamoja na wenzie wakiimba kama kina Davido na West African, wamekosa ubunifu. Sasa kwa nini nimpigie kura mwigiliziaji badala ya anayeigiliziwa.

Kingine nyie vijana mliokosa ubunifu mtuambie mkimaliza kuwaiga kina Davido mtaiga wapi? Ili tujiandae na kujua kama mnaiga vizuri..
 
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…