Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Wonders shall never end ooooo
.....
Wa kimataifa anapigiwa kura kimataifa.. Period
 

Una akili sana wewe, nimekukubali aisee
Sasa ili kummaliza kabisa na usitukanwe tena what are you gonna so about hard working the dude did to promote his his music
Utawapigia simu wasanii wakubwa wasianye naye kolabo?
Utazuia video zake zisipate viewers wengi Youtube
Utazuia asiwe mwanamuziki anayevuta mkwanja mrefu zaidi?
Utawazuia washabiki wake wasilipe mamilioni kuingia shows zake?
Utazuia umati kuhudhuria shows zake?
Utazuia makampuni yasimpe endorsement nono
Utazuia tv station kubwa zipige nyimbo zake
Utazuia umaarufu wake all over the Africa?
Utazuia asifanye video za gharama kubwa na viwango
Utazuia asipate nominations za kimataifa zaidi?
To mention a few

What are gonna do about it ?

Kama kweli mafanikio ya Diamond ndio yanakutukanisha huko basi utatukanwa sana dada yangu hadi wakati wake utakapoisha........jiandae kwa hili kisaikolojia

So keep voting to others to let him down course thats all you can do
Kuhangaika kumshusha chibu hakuwezi kumpandisha kiba
Hongereni kwa tuzo 6
 
skutikanwa personally ila kumwita x makombo ni sawa na kunitukana.KILA MTU ana x wake hata wewe na mama yako muna x wenu.IKIWA hakusema makombo basi angejitokeza wazi kwenye media kukanusha ile habari...bila kanuso habari ile tunaiweka kwenye kapu lake.

Alalame promota kumweka hoteli mmbovu na sio kudai mbeya hamna hotel ya kumweka....yaan rais akiwa ziarani hulala mbeya sembuse mond???

kwa nini asijitokeze na kushukuru tuzo mbili alizotwaa jana tujue kweli ana hamu na tuzo zingine???
kutokushukuru maana yake ni dharau kwa wadau na sasa ....utandale tandale ubaya ubaya . ich mochte vote fur davido und venessa
 
Chinga One mbona ume-delete sms yako..karibu ujiunge
 
Last edited by a moderator:
Vote for Davido, Diamond haitaji kura yako wewe na washamba wenzio. Wasisitize na washamba wenzio wampigie kura Davido kwa wengi Diamond haitaji kura zenu.


wana chuki balaaa sijui Daimond kawakosea nini aiseeee hhhhhaaa
 

Has Diamond ever come forward kukanusha anything magazeti ya udaku yameandika? Lini umeshaona Diamond anakanusha anything because magazeti ya udaku yameandika. If he was to do that angeshinda akikanusha magazeti 24/7 because they all write hear say or make believe stories. You will have to be in his shoes to understand that life. Do you believe everything Global au udaku magazeti write? Maana hiyo habari iliandikwa na udaku na we all know hakukua na uthibitisho. Hivi have you wondered je kama all that was a lie just so the so called newspaper could sell copies or it was written by a journalist who hates Diamond kwa sababu zake binafsi? Kama huamini story nyingi za udaku why would you believe this?

Rais lazima alale Mbeya kwenye hotel yoyote because yeye ni rais na kama Mbeya hakuna hotel ya maana ya Rais kulala then it is the president's shame. So referencing the president is a poor attemp to justify your hatred. Rais alieenda kuomba kura Mbeya will have to go to Mbeya regardless of hotel standards. Diamond is a business man, it is business and he has a choice to conduct it the way he sees fit.

Sasa wewe hujampigia kura Diamond but una mention that hajashukuru waliompigia kura. I think he made it clear a few weeks ago how he felt about KTMA, please go back and read his post you will understand. Tanzanians, God!! why do we feel so entilted? Why make it look like the boy owes his life to us? If we were all this personal about the future of our country and make mafisadi and leaders accountable..believe me we would be far!
 
Jamani tutapiga sie tunaomkumbali nyie acheniii,,,na siku ikitokea upande wenu aly k anawania tuzo za Africa mtapiga nyieee Tu na sie tutawapigia wengine,ni hayo tu
 
Hivi wewe Paul S.S ulichokiandika kina relate na nilichokiandika mimi kweli?
Halafu sitaki malumbano na muda wa kusoma magazeti sina, nimesema nilichotaka kukisema, wewe pia ungesema yako...hivyo tu yani.
USINIHARIBIE KARAMU!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ujinga na kukosa uzalendo
uzalendo !!!!!!!!!!kwani anapotudharau hakujua sisi ni watanzania na wana tandale????
hata kura za urais kapigeni kizalendo based on ur dini na makabila kama kenya
 
chinembe .!!! Ha ha ha ha ha ha ha.,, ivi unajua maana ya chinembe ??

Hakyanani!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…