Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
skutikanwa personally ila kumwita x makombo ni sawa na kunitukana.KILA MTU ana x wake hata wewe na mama yako muna x wenu.IKIWA hakusema makombo basi angejitokeza wazi kwenye media kukanusha ile habari...bila kanuso habari ile tunaiweka kwenye kapu lake.Alikutukana wewe personally au? Ulitoa mimba yake? And go find out artists such as Davido or AKA, they all have standards they expect a promoter to meet if they want them to come and perform. So if a promoter wants to put Diamond in a poor standard hotel just so that the promoter can save money...what do you want Diamond to do? He is doing music for business not charity. So yes, let him complain, and people like you don't like it ni sawa.
And you are referring to the Kenya ant diamond forum... well I would not expect less from Kenyans. Do you really think they are totally happy that it is a Tanzanian carrying the East African flag? Do you think if it was Jaguar au Sauti Sol hata kama wana scandal huko Kenya, wakenya wangevote for their own. Kenyans are the most patriotic people ever. But come to Tanzania, we are here happily mentioning that our neighbours don't like own child. Like I said, no wonder they look down on us.
Go vote for whoever you like
Vote for Davido, Diamond haitaji kura yako wewe na washamba wenzio. Wasisitize na washamba wenzio wampigie kura Davido kwa wengi Diamond haitaji kura zenu.
So keep voting to others to let him down course thats all you can do
Kuhangaika kumshusha chibu hakuwezi kumpandisha kiba
Hongereni kwa tuzo 6
Una gongwa na manyani.....
wana chuki balaaa sijui Daimond kawakosea nini aiseeee hhhhhaaa
skutikanwa personally ila kumwita x makombo ni sawa na kunitukana.KILA MTU ana x wake hata wewe na mama yako muna x wenu.IKIWA hakusema makombo basi angejitokeza wazi kwenye media kukanusha ile habari...bila kanuso habari ile tunaiweka kwenye kapu lake.
Alalame promota kumweka hoteli mmbovu na sio kudai mbeya hamna hotel ya kumweka....yaan rais akiwa ziarani hulala mbeya sembuse mond???
kwa nini asijitokeze na kushukuru tuzo mbili alizotwaa jana tujue kweli ana hamu na tuzo zingine???
kutokushukuru maana yake ni dharau kwa wadau na sasa ....utandale tandale ubaya ubaya . ich wosche vote fur davido und venessa
uzalendo !!!!!!!!!!kwani anapotudharau hakujua sisi ni watanzania na wana tandale????Huu ni ujinga na kukosa uzalendo
Huu ni ujinga na kukosa uzalendo