Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

na bado mwakani ataambulia kreti la kilimanjaro beer......hatapata hata tuzo moja..aendelee na biashara ya kutangaza mimba

Hata kwenye kinyang'anyiro hatoingia ndo mwisho wake huo
 
Kitu ambacho kila mara najifunza hapa ni uelewa mdogo wa kufikiria tu. Kisa kafanya mr almasi ni wangapi wameowa na kuolewa nje ya nchi hii na pengine nje ya bara hili? Kingine kwa swala la makombo hata yeye anakula hayo na si yeye tu kila mtu kayapitia hayo.
 
My dear, sio wivu tuu, ni uwezo mdogo wa kufikiri. Sasa wakishamkomoa Diamond wanaona kama automatically they will feel better about themselves.

kumbe jee
yaan mungu akituuliza atupe nini (zawadi) ila atamgia mond mara mbili kile atakachotupa
mfano:ampe kiba tuzo kumi na mond apewe ishirini....amfanye kiba milionea na mond bilionea BASI SISI TUTAMJIBU MUNGU AMFANYE KIBA KIPOFU JICHO MMOJA ili MOND apofushwe macho mawili
 
Reactions: me1

kweli kabisa...yaani domo kuanzia leo mpaka kesho na keshokutwa hatakuwepo kwenye wapokea tuzo
 

Good move
 
diamond tayari ni kipofu
 

Domo hashindi hii tuzo hata afanyeje..
 
Memba tungekua tunaonana mtoa mada ungekula kichapo afu ukaseme kwa mods teh teh teh teh
 
I see what you mean dear. A lot of what they come up with ni mkumbo na wivu with no logic.Back to voting now.

hata kwenye tuzo za kili mlipiga kura lakini majibu mmeyapata...na sasa ndio tumecharuka zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…