Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ujinga na kukosa uzalendo
Ujinga tuu
Hahahahaaa, ngoja niende mkuu.
Huyu aliyeanzisha hii pia kungekua na option ya kufuta angeshaifutilia mbali!
na bado mwakani ataambulia kreti la kilimanjaro beer......hatapata hata tuzo moja..aendelee na biashara ya kutangaza mimba
My dear, sio wivu tuu, ni uwezo mdogo wa kufikiri. Sasa wakishamkomoa Diamond wanaona kama automatically they will feel better about themselves.
Kitu ambacho kila mara najifunza hapa ni uelewa mdogo wa kufikiria tu. Kisa kafanya mr almasi ni wangapi wameowa na kuolewa nje ya nchi hii na pengine nje ya bara hili? Kingine kwa swala la makombo hata yeye anakula hayo na si yeye tu kila mtu kayapitia hayo.
kumbe jee
yaan mungu akituuliza atupe nini (zawadi) ila atamgia mond mara mbili kile atakachotupa
mfano:ampe kiba tuzo kumi na mond apewe ishirini....amfanye kiba milionea na mond bilionea BASI SISI TUTAMJIBU MUNGU AMFANYE KIBA KIPOFU JICHO MMOJA ili MOND apofushwe macho mawili
Support Mtanzania mwenzio
diamond tayari ni kipofukumbe jee
yaan mungu akituuliza atupe nini (zawadi) ila atamgia mond mara mbili kile atakachotupa
mfano:ampe kiba tuzo kumi na mond apewe ishirini....amfanye kiba milionea na mond bilionea BASI SISI TUTAMJIBU MUNGU AMFANYE KIBA KIPOFU JICHO MMOJA ili MOND apofushwe macho mawili
Hvi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, xaxa hyo dharau mnaiona mashabiki wa wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na diamond.
Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake diamond.
Ila tu nisisitize, jokate, wema, na mange, nyie na washabiki wenu mpigien davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie diamond bila sababu. Cc watanzania wengine tutampigia kura.
Na naona vanesa nae ashaanza kuingia team wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha diamond, badilika dada.
Vote for diamond ana Vanesa, MTv awards
Sapoti mwenyewe zombi
I see what you mean dear. A lot of what they come up with ni mkumbo na wivu with no logic.Back to voting now.
le mutuz kafuta ile post watu wamemchamba degree3 hujui fake account