Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

Kweliii uyasemayo......
 
Kama wema kweli anaendesha kampeni hiyo ni wakumsamehe tu.

Hajui alitendalo.

Acha afanye alisikialo ni uamuzi wake kufanya akisikiacho as long as avunji Katiba ya Jamhuri ya Muungano.
 
Vote for Davido, Diamond haitaji kura yako wewe na washamba wenzio. Wasisitize na washamba wenzio wampigie kura Davido kwa wengi Diamond haitaji kura zenu.

Mimi navote kwa Wizkid acha kukariri wewe, halafu ndio nimeshasema sasa.
Kama umeumia sana kajinyongeeee.
Halafu ukome kutuita sisi washamba, nyie wajanja mkafanya nini? Hata bundle la kupiga kura hamna kazi kutokwa povu tu.
 
Hakuna anaeitaji kura zenu, chukueni hiyo na mpigieni huyo wizkid kwa nguvu zote.
 
Duh unanipa ma kwenda zako, uzi gani matusi????? Mie sijayaona. Na ndio maana nasema hawatumiagi matusi

Hahahahaaa, wewe utayaonaje wakati ni ya wenzako?
Tuyaache hayo kikubwa message sent.
Habari mnazoooooo!!
 
Hapo kwa Vanesa unekosea, ulitaka ampigie kampen mwingine ambaye ana management yake na ac zake, kwan Yey platnum amempigia kampeni Dai. Stop treat him like a God kuwa ashobokewe kihivyo.
Hao wenye mateam naonag hawana time

sina team, sifumbw na ushabiki nasapoti ryt thng
 
mnajipa presha za bure kwenye mtv mama awards kura zinachangia asilimia 30% then 70% zilizobaki zinatokana na academy ya majaji ilioteuliwa, mwaka jana maffiki zolo walipata kura chache lakini wakachukua tuzo ya kundi bora, wanajua kama nigeria ina wakazi zaidi ya milioni 150 wakiweka kura pekee ziamue basi wanigeria wangekuwa wanabeba tuzo zote
 
Waache wakeshe kwa Wizkid na Davido, maybe watafanikiwa. Ila ukweli unaweza kufichwa kwa muda mwishowe unarejea.
 
mnajipa presha za bure kwenye mtv mama awards kura zinachangia asilimia 30% then 70% zilizobaki zinatokana na academy ya majaji ilioteuliwa, mwaka jana maffiki zolo walipata kura chache lakini wakachukua tuzo ya kundi bora, wanajua kama nigeria ina wakazi zaidi ya milioni 150 wakiweka kura pekee ziamue basi wanigeria wangekuwa wanabeba tuzo zote

Ahsante kwa ufafanuzi.
 
Kama kura za ma team ndo kila kitu, mpigieni wema kura nyingi, mana mwenye kura nyingi anapata award ya MIMBA. nyie team wema, mpigieni kura apate mimba
 
Back
Top Bottom