Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka ujiandikishe kwenye BVR.
Support Mtanzania mwenzio
Pitia kwenye nyuzi nyingine mkuu kuna jinsi ya kupiga kura.Link wanaweka wao kura tunapiga kwingine....hahahahaaa
Nimecheka mpaka machozi yametoka.tuhimizane shahada mkononi
We jamaa kigeugeu sana kuna uzi umesema humpendi utampigia kurra cos ya uzalendo leo sijui umekula maharage ya wap unaongea vitu vingine hebu kuwa na msimamo,ww piga kwa davido or wherever tunajua nabii akubaliki kwaoNi upuuzi kipindi cha kura kuja kutulilia tumpigie kura dai in the name of the so called uzalendo, alafu mkibeba tuzo mnarudi kututukana, huo upuuzi hatutaki tena uje kujirudia.
Vote for Davido. OVER
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Waache wakeshe kwa Wizkid na Davido, maybe watafanikiwa. Ila ukweli unaweza kufichwa kwa muda mwishowe unarejea.
kumbe kukesha kwa msanii mmoja inaruhusiwa??
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
Unajisikiaje ukiwa kama binadamu?
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
Mkuu najua umeanzisha hii thread kuuchoma upande flan hiv ila sio vizuri!!Hebu tuachane na hizi team team mpigie kura mtanzania mwenzako!!azidi kuiwakilisha nchi hata kama hutapenda kumpigia kura basi hukuwa na haja ya kufanya hivi!!Mond kibongobongo tayar kashatoka hebu tuuweke ushabiki pembeni!tunakubali kiba kamzidi mond kuimba ila hebu angalia juhudi anazozifanya mwenzake!!Ni Ushauri tuhusika na kichwa cha habari naombeni msaada ndugu zangu