Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Pitia kwenye nyuzi nyingine mkuu kuna jinsi ya kupiga kura.Link wanaweka wao kura tunapiga kwingine....hahahahaaa
 
Ni upuuzi kipindi cha kura kuja kutulilia tumpigie kura dai in the name of the so called uzalendo, alafu mkibeba tuzo mnarudi kututukana, huo upuuzi hatutaki tena uje kujirudia.

Vote for Davido. OVER
We jamaa kigeugeu sana kuna uzi umesema humpendi utampigia kurra cos ya uzalendo leo sijui umekula maharage ya wap unaongea vitu vingine hebu kuwa na msimamo,ww piga kwa davido or wherever tunajua nabii akubaliki kwao
 
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

MAMA 2015


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************

Nimeshamaliza kazi yangu leo, naona masaa yanachelewa iingie kesho nyingine nipige kazi. Wenye roho za utimu mburula waache waendelee na umburula wao, sie wenye roho za utaifa na ukuzaji muziki wacha tuendelee kupigia kura wawakilishi wetu Diamond Platinumz na Vanessa Mdee.

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


 

Attachments

  • best-collaboration.jpg
    best-collaboration.jpg
    11.2 KB · Views: 761
  • best-female.jpg
    best-female.jpg
    10.2 KB · Views: 760
  • best-live.jpg
    best-live.jpg
    10 KB · Views: 773
  • best-male.jpg
    best-male.jpg
    10.3 KB · Views: 752
Waache wakeshe kwa Wizkid na Davido, maybe watafanikiwa. Ila ukweli unaweza kufichwa kwa muda mwishowe unarejea.

kumbe kukesha kwa msanii mmoja inaruhusiwa??
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

Unajisikiaje ukiwa kama binadamu?
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

I second you .......umeona alichpost zari asubuhi???? still bado uzalendo,huge uzalendo ndo nan??? in jotis' voice
 
yaaaan diamond angekuwa mjanjaa jana angepost zile tuzo mbili alizoshindaaa na azisifieee ilaa kaonaa hazinaa maana mwacheni aendelee kusubir za nje!!!
 
husika na kichwa cha habari naombeni msaada ndugu zangu
Mkuu najua umeanzisha hii thread kuuchoma upande flan hiv ila sio vizuri!!Hebu tuachane na hizi team team mpigie kura mtanzania mwenzako!!azidi kuiwakilisha nchi hata kama hutapenda kumpigia kura basi hukuwa na haja ya kufanya hivi!!Mond kibongobongo tayar kashatoka hebu tuuweke ushabiki pembeni!tunakubali kiba kamzidi mond kuimba ila hebu angalia juhudi anazozifanya mwenzake!!Ni Ushauri tu
 
Back
Top Bottom