mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi ni kweli Wema ana nguvu hizi za kuwaambia wa-Tz wasimpigie kura Diamond na kweli ikamfanya Diamond ashindwe nitakua mtu wa mwisho kuamini.
Pitia kwenye nyuzi nyingine mkuu kuna jinsi ya kupiga kura.Link wanaweka wao kura tunapiga kwingine....hahahahaaa
Vote for davido vote for wizkid
nifah mimi si fan wa mshkaji, ila bhana si sahihi.....
Nakuheshimu mkuu, usitake malumbano yasiyokuwa na maana.
Wewe kwako sio sahihi, kwangu mimi ni sahihi.
Niache nifanye ninavyotaka mimi.Mbona wakati nampigia Kiba kura hukuniambia kama niko sahihi?
Much as I remember, you were one of the high profile advocates for " Bring Back Our Wema:BBO-Wema" campaign.
And, it happened as per your wishes. The after math, is hatred surmounting the Tanzanian music industry so far,
Diamond falling prey to a fueled hatred from fans of his estranged girlfriend, Wema.
That said, you are entitled to your opinion, though.
I second you .......umeona alichpost zari asubuhi???? still bado uzalendo,huge uzalendo ndo nan??? in jotis' voice
Hamna cha hatred wala mini mbona domo alivochukua tuzo saba mlichekelea sana na kufurahi. Maneno yote ya kashifa wala chuki watu hawakumtolea. Leo Kiba kushinda imekua nogwa loh!
Hayo ya chuki na kuonewa kumtoka kwa domo fans tumeyazoea rekebisheni sehemu isiyo Sawa. Sio kusingizia eti kushushwa na chuki loh.
Poleni sana ukwaju na malimao tumieni mda uu. Mtajibeba sana tu endeleeni kulalamika tu Mpaka mchoke.
Haya sawa.
Sina uwezo wa kuchambana mimi kishabiki au ki "team so and so..."
husika na kichwa cha habari naombeni msaada ndugu zangu
Ila domo akipata tuzo ni Sawa hata kumi mwingine akipata tuzo domo anashushwa kwa sababu ya mafanikio na chuki ya Watanzania eeeeh:what:😕
Mkuu mi tayari nshapiga kura mara 20 kwa davido n wkzd na Vee money, hakuna kulala iwe jua au mvua.