Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

********

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pitia kwenye nyuzi nyingine mkuu kuna jinsi ya kupiga kura.Link wanaweka wao kura tunapiga kwingine....hahahahaaa

Aahaaaa umenichekesha kweli wanaweka link kura unampigia mwingine
 
Pitia kwenye nyuzi nyingine mkuu kuna jinsi ya kupiga kura.Link wanaweka wao kura tunapiga kwingine....hahahahaaa
nifah mimi si fan wa mshkaji, ila bhana si sahihi.....
 
Last edited by a moderator:
Vote for davido vote for wizkid

Much as I remember, you were one of the high profile advocates for " Bring Back Our Wema:BBO-Wema" campaign.

And, it happened as per your wishes. The after math, is hatred surmounting the Tanzanian music industry so far,

Diamond falling prey to a fueled hatred from fans of his estranged girlfriend, Wema.

That said, you are entitled to your opinion, though.
 
Nakuheshimu mkuu, usitake malumbano yasiyokuwa na maana.
Wewe kwako sio sahihi, kwangu mimi ni sahihi.
Niache nifanye ninavyotaka mimi.Mbona wakati nampigia Kiba kura hukuniambia kama niko sahihi?

sorry sana, may be umenielewa. Tofauti, nilijaribu kuweka tu hali sawa. Ila tusamehane kama nimkukwaza
 
Much as I remember, you were one of the high profile advocates for " Bring Back Our Wema:BBO-Wema" campaign.

And, it happened as per your wishes. The after math, is hatred surmounting the Tanzanian music industry so far,

Diamond falling prey to a fueled hatred from fans of his estranged girlfriend, Wema.

That said, you are entitled to your opinion, though.

Hamna cha hatred wala mini mbona domo alivochukua tuzo saba mlichekelea sana na kufurahi. Maneno yote ya kashifa wala chuki watu hawakumtolea. Leo Kiba kushinda imekua nogwa loh!
Hayo ya chuki na kuonewa kumtoka kwa domo fans tumeyazoea rekebisheni sehemu isiyo Sawa. Sio kusingizia eti kushushwa na chuki loh.
Poleni sana ukwaju na malimao tumieni mda uu. Mtajibeba sana tu endeleeni kulalamika tu Mpaka mchoke.
 
I second you .......umeona alichpost zari asubuhi???? still bado uzalendo,huge uzalendo ndo nan??? in jotis' voice

Hata mimi nashangaa mkuu.Hawa watu sijui wakoje, aliwaambia hataki wampigie kura wakalazimisha, ikabidi wapewe tuzo mbili za kufutia machozi.
Nako kawadharau hata shukrani hajawapa halafu leo hii tumpigie kura. ...wampigie hao misukule wake, mimi big NO! Sipendi dharau kabisa.
 
Hamna cha hatred wala mini mbona domo alivochukua tuzo saba mlichekelea sana na kufurahi. Maneno yote ya kashifa wala chuki watu hawakumtolea. Leo Kiba kushinda imekua nogwa loh!
Hayo ya chuki na kuonewa kumtoka kwa domo fans tumeyazoea rekebisheni sehemu isiyo Sawa. Sio kusingizia eti kushushwa na chuki loh.
Poleni sana ukwaju na malimao tumieni mda uu. Mtajibeba sana tu endeleeni kulalamika tu Mpaka mchoke.

Haya sawa.

Sina uwezo wa kuchambana mimi kishabiki au ki "team so and so..."
 
Haya sawa.

Sina uwezo wa kuchambana mimi kishabiki au ki "team so and so..."

Ila domo akipata tuzo ni Sawa hata kumi mwingine akipata tuzo domo anashushwa kwa sababu ya mafanikio na chuki ya Watanzania eeeeh:what:😕
 
Ila domo akipata tuzo ni Sawa hata kumi mwingine akipata tuzo domo anashushwa kwa sababu ya mafanikio na chuki ya Watanzania eeeeh:what:😕

Wakati Diamond anachukua tuzo hizo mwaka ulipita, hakukuwa fitna na chuki kama zilizopo wakati huu. Haikuwa vita ya

kimuziki ya u-Diamond vs u-Kiba kama ilivyoshudiwa hapo jana.

Kwa kuweka rekodi sawa, mwaka jana wakati wa tuzo, Wema alikuwa mbeba tuzo 7 za Diamond na zilikwenda

kupumzishwa kwa Wema tuzo hizo kwa saa kama si siku kadhaa...
 
Back
Top Bottom