Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Ovyoooooo acheni Umoja KUwa MAendeleo. Hapa tunajadili issue za kiba na ndomo naona mnataka kubadili mada ya thread kama huyo manzi kawakera kaanzisheni uzi mwingine. Msituharibie humu
 
Le mutuz kachanganyikiwa na tuzo za kiba!! Huo upuuzi aliopost!!pole yake
 
Ovyoooooo acheni Umoja KUwa MAendeleo. Hapa tunajadili issue za kiba na ndomo naona mnataka kubadili mada ya thread kama huyo manzi kawakera kaanzisheni uzi mwingine. Msituharibie humu

Hahahahaaa, mkuu hawa ni roho zinawauma tu wala hawana chochote, maana kama kuwachapa tu leo wamechapika sana.
Halafu haya mambo nimeshayazoea, kila sehemu nasemwa mimi....
Heheheheheee.
Watafute mbinu nyingine maana hii imeshaexpire
 
Ni mshamba tu wa mjini huyo, 24 hrs yuko hapa anatema shombo hata kwenda osha K anasahau.

Hahahahaaa, nioshe nisioshe wewe inakuhusu nini?
24 hours niko huku unajiuliza natumia nini? Huku mtu haperuzi bure, kwahiyo gharama zangu ndizo zinazoniweka humu.
Kuna tatizo kwani?
 
Hahahahaaa, nioshe nisioshe wewe inakuhusu nini?
24 hours niko huku unajiuliza natumia nini? Huku mtu haperuzi bure, kwahiyo gharama zangu ndizo zinazoniweka humu.
Kuna tatizo kwani?

Kaogeeeee,, dont u feel ashamed..??
 
Afu watu type yake unakuta anakaa kwa shemej yake, kujaza choo tu.

Hahaha kweli kabisa njaa zao na stress hasira wanamalizia kwa Chibu, wakiamka asubuhi lazima waingie account ya Diamond na Zari wakikuta kaweka kitu ni mwendo wa kuwashushia matusi ya nguoni asbh mpk usiku kucha dada wa watu sijui kawakosea nini leo kawatolea uvivu hahah
 
Back
Top Bottom