Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Kweli wewe bado ni mtoto,lugha yako inaonesha bado hujakua.
Mimi nimeajiriwa na nimeajiri vijana kama watatu ila siwezi kuwaita wale ni mapimbi na hakuna bosi anayewaita wafanyakazi wake mapimbi.
Watu kama nyinyi ndio mnaidhalilisha sana jf,binafsi kuna watu wananidharau sana nikiwaambia napendelea kutembelea jf wananiambia jf ilikuwa zamani now kuna wajinga kibao

Kipimo cha utoto wangu ni nini? nimeshindwa kukukojolea au? ukitaka useriousness nenda huko katika majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko huku ni STRESS FREE ZONE ukiona pamekushindwa kula kona. kwanza nitolee mmbu hapa. mimi mtoto sawa wewe mkubwa mzima hata kazi ya kufanya hauna saa moja asubuhi uko JF Pumbavuuuuuuu
 
Mimi ni 20's lakini sina akili za kitoto kama zako.nakuweka sawa kijana mwenzangu.
Matusi hayasaidii na hizo biashara sijui unawezaje kufanya.
Lugha yako haikuonyeshi kuwa ni mfanyabiashara labda uniambie muuza kahawa na kashata
 
Wewe ni mfanyabiashara wa level ipi?
Sole proprietor, partnership,limited company au ni Trust.
Nataka nikusaidie mawazo mengi katika biashara yako maana mimi pia ni business consult naweza nikakupa mawazo chanya yatakayoweza kukufanya uache kuandika pumba muda wote jf
 
mi nishajua humu tunajibishana na kina wema na jokate,ndio maana chuki kibao aiseee

Hata wewe?
Kila siku hapa unakaa na sisi tunamchambua Wema leo kuwa upande wa Kiba tumekua mashabiki wa Wema?
Lols nirudishie pesa zangu za Sangara sitaki tena kuagiza samaki kutoka kwako
Nimekuchukiaaaa😀😀😀😉
 
Kipimo cha utoto wangu ni nini? nimeshindwa kukukojolea au? ukitaka useriousness nenda huko katika majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko huku ni STRESS FREE ZONE ukiona pamekushindwa kula kona. kwanza nitolee mmbu hapa. mimi mtoto sawa wewe mkubwa mzima hata kazi ya kufanya hauna saa moja asubuhi uko JF Pumbavuuuuuuu
dawa ya nyoka kama huyu piga kichwani
 
Mimi ni 20's lakini sina akili za kitoto kama zako.nakuweka sawa kijana mwenzangu.
Matusi hayasaidii na hizo biashara sijui unawezaje kufanya.
Lugha yako haikuonyeshi kuwa ni mfanyabiashara labda uniambie muuza kahawa na kashata

Kwahiyo watakaje sasa nikutekenye Sungiro Puru au?
 
Wewe ni mfanyabiashara wa level ipi?
Sole proprietor, partnership,limited company au ni Trust.
Nataka nikusaidie mawazo mengi katika biashara yako maana mimi pia ni business consult naweza nikakupa mawazo chanya yatakayoweza kukufanya uache kuandika pumba muda wote jf

Business consult my foot labda majungu au umbeya consult. Business consult uko jukwaa la celebrity sasahivi usinichekeshe jombaaaa
 
:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown: huu Ni upunguani. Diamond yupo pale akiwakilisha Tanzania, yeye pa1 Na Vanessa. Huyo davido anawakilisha wanigeria! Mnapaswa mjitafakari upya.

Unanichagulia nani wa kumpigia kura? Kwahiyo hata kama simpendi na sivutiwi na mziki wake basi nipige tuu kisa mtanzania. Pumbafuuuuuuu. Kila mtu ana flavour zake
 
kwanini iwe kwake tu...kijana wetu daimond anakosa gani kwa baadhi ya WaTz
kwa mziki wa ndan sawa lkn hata nje pia tunamtenga?.....noo hii ni nchi yetu na huyu ni kijana wetu , so ni vizuri tukazid kujitangaza kwa huyu na wengineo watakao au waliotoka nje!!
 
Unanichagulia nani wa kumpigia kura? Kwahiyo hata kama simpendi na sivutiwi na mziki wake basi nipige tuu kisa mtanzania. Pumbafuuuuuuu. Kila mtu ana flavour zake

Mkuu achana naye tunampigia kura Msanii tunayempenda uzalendo peleka timu ya taifa Mimi nampigia Vanessa wizkid na davido hao ndio wasanii bora Wa afrika kwangu kuwasaidia watu wasioweza kisa uzalendo ni ujinga
 
nikiwa ndani ya tanzania Nina uKIBA ila Kwenye kuvote Huko S.Afrika Lazima niuoneshe uTz wangu!!
Kupitia nani?.....kupitia Msanii toka Nyumbani!..........
weee..!msanii Gani Aliyepo Huko? Si Huyu Daimond Na Vanessa!... Ntaupaisha uTZ Wangu Daima!!
 
Back
Top Bottom