Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Mbona Ali kibakuli atakaa sana mpaka afike level za diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimsapoti bwana wako davido wa nn mm. M navote for Diamond cz he repTz
Kweli wewe bado ni mtoto,lugha yako inaonesha bado hujakua.
Mimi nimeajiriwa na nimeajiri vijana kama watatu ila siwezi kuwaita wale ni mapimbi na hakuna bosi anayewaita wafanyakazi wake mapimbi.
Watu kama nyinyi ndio mnaidhalilisha sana jf,binafsi kuna watu wananidharau sana nikiwaambia napendelea kutembelea jf wananiambia jf ilikuwa zamani now kuna wajinga kibao
Kipimo cha utoto wangu ni nini? nimeshindwa kukukojolea au? ukitaka useriousness nenda huko katika majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko huku ni STRESS FREE ZONE ukiona pamekushindwa kula kona. kwanza nitolee mmbu hapa. mimi mtoto sawa wewe mkubwa mzima hata kazi ya kufanya hauna saa moja asubuhi uko JF Pumbavuuuuuuu
Kipimo cha utoto wangu ni nini? nimeshindwa kukukojolea au? ukitaka useriousness nenda huko katika majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko huku ni STRESS FREE ZONE ukiona pamekushindwa kula kona. kwanza nitolee mmbu hapa. mimi mtoto sawa wewe mkubwa mzima hata kazi ya kufanya hauna saa moja asubuhi uko JF Pumbavuuuuuuu
Wivu mbaya baada ya kuipeperusha Tanzania hamieni Nigeria bus
mi nishajua humu tunajibishana na kina wema na jokate,ndio maana chuki kibao aiseee
dawa ya nyoka kama huyu piga kichwaniKipimo cha utoto wangu ni nini? nimeshindwa kukukojolea au? ukitaka useriousness nenda huko katika majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko huku ni STRESS FREE ZONE ukiona pamekushindwa kula kona. kwanza nitolee mmbu hapa. mimi mtoto sawa wewe mkubwa mzima hata kazi ya kufanya hauna saa moja asubuhi uko JF Pumbavuuuuuuu
hiyo bendera alipewa na nani? ninachojua bendera hajawahi kupewa mwanamuziki
Mimi ni 20's lakini sina akili za kitoto kama zako.nakuweka sawa kijana mwenzangu.
Matusi hayasaidii na hizo biashara sijui unawezaje kufanya.
Lugha yako haikuonyeshi kuwa ni mfanyabiashara labda uniambie muuza kahawa na kashata
Wewe ni mfanyabiashara wa level ipi?
Sole proprietor, partnership,limited company au ni Trust.
Nataka nikusaidie mawazo mengi katika biashara yako maana mimi pia ni business consult naweza nikakupa mawazo chanya yatakayoweza kukufanya uache kuandika pumba muda wote jf
:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown: huu Ni upunguani. Diamond yupo pale akiwakilisha Tanzania, yeye pa1 Na Vanessa. Huyo davido anawakilisha wanigeria! Mnapaswa mjitafakari upya.
Unanichagulia nani wa kumpigia kura? Kwahiyo hata kama simpendi na sivutiwi na mziki wake basi nipige tuu kisa mtanzania. Pumbafuuuuuuu. Kila mtu ana flavour zake