Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Mimi navote for Davido,flavour ,Vanessa Mdee na sauti sol.Africa is one.

u r appreciated my dear
hata nyerere alihubiri tusibaguane waafrica sasa leo watu wanaleta udini,ukabila,utaifa waambie hata kura za urais oct wakapige kwa dini/kabila na kanda zao.
kizuri chajiuza....vote 4 davido na vanessa na sauti sol
 
hahaha we subiri tu ..hamasisha watu wavote plss mpaka mwaka huu ajirudi ndio tutamhurumia

Mie tenaa nawahamasisha kupita maelezo. Na nilivyo team kiba team wema mbona mambo ni matamu.. huko IG nina kikosi ambacho mpaka now washavote kama mara mia mia.
Mwaka huu lazima domo atubu madhambi yake
 
Mbona hukulalamika south africa walipompigia kura Idris BBA na kumuachs mshiriki wao. Au hukuona even baadhi ya stars walikuwa wanashawishi watu wapigie kura Tanzania BBA ilihali kuna washiriki wao kule. Sio dhana potofu kumpigia kura davido wakati diamond pia anashiriki.

Mshauri bosi wako ajiangalie upya na atafute sababu za kuchukiwa hivi na baadhi ya watanzania. I SAY VOTE FOR DAVIDO AND VEE MONEY.

I don't expect you to know the difference between what you and your fellow friends are pouring out and what you have described regarding Idris.
 
Mie tenaa nawahamasisha kupita maelezo. Na nilivyo team kiba team wema mbona mambo ni matamu.. huko IG nina kikosi ambacho mpaka now washavote kama mara mia mia.
Mwaka huu lazima domo atubu madhambi yake

mpaka kuku atavote. IG kumechafuka yani kitu ni davidoo . domo mwisho white house
 
Alafu mamy kuvote kwa siku ni mara ngapi? Leo nishavote kama mara miambili bado inaniruhusu tuu

umetumia accout zaidi ya moja?? mbona mwisho kuvote ni mara 20 kwa kila category. so category zote 13 mara 20 ni kura 260
 
heee nani kwakambia mbuzi wajinga
uliona wapi mbuzi wanaingiliana kinyume na maumbile kama wanadamu wa leo?????mbuzi mjanja tena sana hawalani tigo

Hebu mwambie hii timu kwa matusi hawajambo kabisa wameshakashifu matusi yote yameisha. Kuanzia chuki wivu ujinga na yote ka si vichaaa mini? Wangekua na akili wangeheshimu wengine. Bwana.
Binafsi nawapigia ninao waona best sio eti kwa vile ni Mtanzania ndo nimpigie.
 
Team kiba kuweni wazalendo hahahaaaaaaaa
 

Attachments

  • 1434375991120.jpg
    1434375991120.jpg
    29.3 KB · Views: 123
hhhhbhaaaaa siwapendi woteee sasa HIV team kiba yeyote yule siwapendiiii mpaka hapo baadaeee yaan kama Li nifah linaniudhii,,nyie ngojeni Tu tulisheni ndimu mpaka basiii zamu yenu inakuja geniveros nae sikupendi tuuu

Yani mimi huku nimekuwekea matanga kabisa.
Mxiiu zako.
Hata Kimbley sichezi naye tena.
 
Last edited by a moderator:
pesa sikupi na usiniqoute mamaaae halaf nyie ni wakimbizi muhame Tanzania mtuachie wenye nchi yetu pumbavu

Ona sasa unanianika hadharani nusu unitaje kabisa yaniii.
Na Tanzania siondoki mpaka niwavurugr vuruge kama team mondi mlivovurugwa mioyo!
Leo usiku hulali...
Mxiiu zako si mnatuita sie wachawi tuna 'outlook mbovu' , nakuwangia mpaka uote mpini.
 
Ona sasa unanianika hadharani nusu unitaje kabisa yaniii.
Na Tanzania siondoki mpaka niwavurugr vuruge kama team mondi mlivovurugwa mioyo!
Leo usiku hulali...
Mxiiu zako si mnatuita sie wachawi tuna 'outlook mbovu' , nakuwangia mpaka uote mpini.


niache niache niache niache naenda kupiga kura mieee niwaaache naenda kukushtak urudishwe kwenyuuuuuuu
 
Ama nini ni kupiga kura kwa sanaaaaaaaaaaaaaaaa,hatuchoki sie ,jamani team Daimond tuendelee kupiga kura na wengine mnaomsapoti kijana platnum tuendeleeni kupiga kura,kilasaa kila siku tutapiga kura haya sasa twendeeeeeeeee mtvMAMA2015
 

Attachments

  • InstagramCapture_e7f7a004-a1b5-4afa-9e9e-02e51e183199_jpg.jpg
    InstagramCapture_e7f7a004-a1b5-4afa-9e9e-02e51e183199_jpg.jpg
    41.3 KB · Views: 94
  • InstagramCapture_c1f7824e-1b2b-49bc-8013-0fe3f4d2b7ee_jpg.jpg
    InstagramCapture_c1f7824e-1b2b-49bc-8013-0fe3f4d2b7ee_jpg.jpg
    28.8 KB · Views: 87
  • InstagramCapture_a5911059-b6a7-4e82-aaf4-a8ada5f8bdb5_jpg.jpg
    InstagramCapture_a5911059-b6a7-4e82-aaf4-a8ada5f8bdb5_jpg.jpg
    41.1 KB · Views: 86
  • InstagramCapture_4596df2d-39d7-4eca-a4ca-ae83c50ca149_jpg.jpg
    InstagramCapture_4596df2d-39d7-4eca-a4ca-ae83c50ca149_jpg.jpg
    35.5 KB · Views: 81
  • InstagramCapture_af67378b-46b4-477a-bfe3-dfa08e17606f_jpg.jpg
    InstagramCapture_af67378b-46b4-477a-bfe3-dfa08e17606f_jpg.jpg
    28.7 KB · Views: 78
Last edited by a moderator:
Team kiba kuweni wazalendo hahahaaaaaaaa

Uzalendo?
Koh koh koh!
AFRICA UNITE.
Vote for wizkidayo, sauti sol, flavour na vanessa mdee wifi yangu wa ukweeliii
Wanaoshangaa nadhani mmekosa vitu vya kushangaa.Jiulizeni kwanini sindano ndogo hushona makoti makubwa!
 
Back
Top Bottom