Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
Hahaha hapa ulionyesha hasira kweli
 
Naona humu jf, kuna majina mawili haipiti dakika bila ya kuyaona. Lakwanza ni Lowassa na la pili ni la huyu kijana Almasi. Wana ganyan egane aje mpaka inakuwa hivi.
 
Mimi nadhani tatizo ni WIVU!Watanzania wengi tuna wivu sana na maendeleo ya watu.Hatupendi kuona watu wanafanikiwa!Ndio maana ukiona mtu kafanikiwa utasikia mara ni freemason,mara ameroga!Hata watu ambao wanafanya kazi kwa juhudi na maarifa tunawakatisha tamaa ili wasifanikiwe na wasipofanikiwa tunaanza kuwacheka!!!Mie nawashauri Kiba na Mond waendelee kuchapa kazi tu!Wasisikilize mashabiki na ma-team yanasemaje!Wakiwasikiliza tu ndio mwanzo wa kukata tamaa au kuvimba mavichwa na mwisho kupotea kabisa kwenye gemu kama baadhi ya wanamuziki walivyopotea!

TCHAOOOO!
 
Mods kwa kutoweka kipengele cha kudelete thread waliona mbali sana.
 
Ni upuuzi kipindi cha kura kuja kutulilia tumpigie kura dai in the name of the so called uzalendo, alafu mkibeba tuzo mnarudi kututukana, huo upuuzi hatutaki tena uje kujirudia.

Vote for Davido. OVER
Hahahaa mkuu ilipovu umelisahau zile thread zako za uzalendo kisa kiba kawa nominated hapa vipi we ulionyesha uzalendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna msanii aliyepata misukosuko kama diamond platnumz kapondwa sura yake mbaya, domo, anapenda kujipendekeza kwa wanaijeria, akatengenezewa chuki na kiba ili apate kuseleleka kupitia mondi na wapuuzi wachache wenye wivu wakamchukia mtoto wa watu mixer kumzomea fiesta, sasa nakaa najiuliza fiesta ya mwaka huu tuombe uzima kibao kinaweza kikageuka (japo sipendi,) kwani muosha huoshwa. Mwisho wa siku kama kiba akikosa tuzo wakulaumiwa ni yy kwa chuki aliyoitengeneza ili apate kurudi (angalia sporah shows na mkasi TV uone alivyohojiwa) na wapili nyinyi mashabiki zake kwa kampeni zenu mlizozianzisha mixer hashtag juu lkn mungu bado alimpigania. Ila bado natamani mtu mmoja atokee azifute hizi tofauti kwani zinapoelekea kubaya nadhan mnaona jinsi diamond platnumz na mashabiki wake wanavyo react na wameanza na hii MTV EMA sijajua fiesta watafanyaje.
 
Back
Top Bottom