Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

Hivi yule mwingine aliimba kidali poo anaitwa nani? Dah zamani sana, nakumbuka enzi hizo vibanda vya kuuza chips mayai ilikuwa kelele mtindo mmoja.
 
Ruge mbaya sana kapoteza vipaji vingi sana kwa tamaa zake.
Do I Miss sth here? Tuseme tunakubaliana na hoja yako...Sasa Ruge si ametangulia mbele za haki?

Hawa "waliokwamishwa" na Ruge si wapo hai sasa?

Kwanini Sasa wasioneshe Vipaji vyao maana aliyekuwa akiwakwamisha hayupo tena? Ee...🤷‍♂️🤷‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…