Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

Crazy GK baada ya kimya kirefu aonekana

Kumbe Mondi kampata Omarion wapige collabo jamaa akiwa ameshashuka kabisa [emoji23]
mkuu, Stan Boi ni mwanamuziki mwenye kipaji.
hapa yupo na msanii Omarion wa B2K
22268_479573475787_716450787_11122978_4087988_n.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yule mwingine aliimba kidali poo anaitwa nani? Dah zamani sana, nakumbuka enzi hizo vibanda vya kuuza chips mayai ilikuwa kelele mtindo mmoja.
 
Ruge mbaya sana kapoteza vipaji vingi sana kwa tamaa zake.
Do I Miss sth here? Tuseme tunakubaliana na hoja yako...Sasa Ruge si ametangulia mbele za haki?

Hawa "waliokwamishwa" na Ruge si wapo hai sasa?

Kwanini Sasa wasioneshe Vipaji vyao maana aliyekuwa akiwakwamisha hayupo tena? Ee...🤷‍♂️🤷‍♂️
 
Back
Top Bottom