Crazy things you did in secondary school

Nakumbkuka Pale Kigoma Sec wikiend huwa wanafnz wanajtegemea vitafunio ambao hawana pesa unakuta wapo na bible mkonon na likikombe la lita 1 limejaa chai hahahahaa au unakuta haoo ziwani.. 2likuwa 2naita kupuliza... Noma sana school life pia nshawah kumwgiwa chai sbb ya kugombania
 
Lol.....it is crazy sometimes nikikumbuka.....stealing sugar canteen ya mat ich a,hiding chin ya uvungu but one day i got caught
 
Enock gani mkuu
 
Hahaha Mimi nakumbuka Tukiwa advance box 2 boys wali na nyama ulikua unaliwa once a week so nilikuaga na mwanangu siku zaidi wali nyama tunakua na meza yetu mtu 2 tu yaani ila masahani na bakuli za kutosha watu 10 tunapanga Foleni Moja anaenda kuchukua nyama mwingine wali hapo ujue makundi mawili tayari yashaumia either kwenye nyama au wali,,,,,,,,, utoto kazi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwahiyo nyote mmesoma bording mm nimesoma day nakumbuka siku moja nilichalewa period ya asubuhi mwalimu akataka kuniadhibu fimbo tisa kwa makosa matatu .

1:sikuchomekea shati
2:nimechelewa kuingia darasani
3:nimechelewa kuja shule
mim nilimuambia mwalim mm naondoka utakuja kunichapa kesho fimbo 3 za kutoroka leo kisha nika kimbia ,wakatumwa wanafunz wanikamate lakin walinikosa toka siku hiyo mwalimu alinibatiza jina la ndege na akaniita kuku.

Dih skul ni Raha
 
Bwenini ilifika kipindi Maticha wanawataka girls, msosi wa shule tabu sasa mademu wanapenda raha sana.

[emoji23] Kuna Ticha akawa anachukua nyama na mchuzi na kwenda kuwahonga girls wawili ambao walikuwa na mbolea za maana, wale girls nao wanachukua na kwenda kumuhonga jamaa yao anayewagonga wote. Hakuambulia kitu, kuja kushtuka Wasichana wakamtema. Kaenda kutongoza mwingine katemwa, hasira ya kupigwa chaga alikuja kutafuta sababu akatia stiki darasa zima.

[emoji3] Yaani shule ilifika kipindi maticha wanapigwa mtoso hadi wakapiga mkwara hakuna Boy kukaa na msichana wakiwa wawili tu hata discussion. Mkikutwa ni utaingizwa ofisini watakuchangia stiki wote,


______________

Kimbembe huko bwenini sasa si ajabu kukuta siku ya jumatano hakuna nguo iliyoanikwa. Watu wanaanika nguo kwenye kenchi akiziangalia hadi zikauke, ukizubaa utaenda darasani na shamba dress. Inafika kipindi mtu akiambiwa avue soksi zipimishwe urefu moja ni ndefu nyingine inafika nusu ya urefu wa hiyo soksi ndefu. Kisa kuibiana soksi na shule nzima tunavaa za aina moja na rangi moja ila zina urefu tofauti.



Ukifika muda wa kulala ikizimwa taa sasa watu wanaanza kupondana mademu zao, utasikia we bwana wako ana kichwa kama jembe.


Ukienda darasani kusoma usiku hutosoma utaishia kuangalia live sex. Watu walikuwa wanagongana kama magari yaliyokosa breki, muda wa kulala madarasa ni gesti
 
Dah! Nakumbuka nikiwa Kidato cha 4 nilikuwa sijawahi kuvunja amri ya 6 ,aisee kuna Mwalimu wa Kiswahili alikuwa rafiki yangu sana akiwa anafundisha akasema "Siku hizi mabinti wananyonyesha kabla ya Kuzaa" basi nami nikadakia hapohapo "Mmgh! sio kweli Mwalimu, Mtu anawezaje kunyonyesha kabla ya kuzaa?" akajibu akasema "Usibishe ni kweli wananyonyesha hawa……" nikamwambia "Ebu ngoja niwaulize" bwana eeh si nikamuuliza jirani yangu Kiti cha Tatu kutoka kwangu tena kwa nguvu "Eti ni kweli mnanyonyesha kabla ya kuzaa?" Dah Darasa zima likalipuka kwa kicheko, Mwalimu hakuweza kulituliza tena na kipindi kikaishia hapo!

Pia sitoweza kusahau Topic ya "Reproduction" alivyokuwa na mswali mengi hadi kero!

Walimu tulikuwa tumewapa majina ndio usiseme "ngengemkeni Mitomingi, Kakuni (Mkuu wa shule), Toxic(Madam wa Bios, Sura mbaya), Kunyesha coz ya kuzungumza huku akitoa mate mwengi kama manyunyu ya Mvua, Atomic Structure, Okwonko(mhuni), White(Mweusi kama mkaa) n.k
Hakuna maisha yenye Visa, furaha, Changamoto, na mahala pa kijifunza kama shule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…