Crazy things you did in secondary school

Nakumbuka siku ya kula wali J4 lakini viongozi wa chakula anajichotea wali wa kutosha anakulahadi Ijumaa
Jamaa unazingua ujue,
Nilikuwa table leader Mzumbe High school,dah siku ya pilau nilikuwa nakula nyama tu,utadhani nalipia bili,
 
Duuhh Hatari me sitasahau siku mwanafunzi alivyokunya bafuni manake Hizo stiki zake si za Nchi hii
 
Km
 
Niliyoyafanya mimi sidhani kama kuna mwingine alishawahi kuyafanya[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Niliyoyafanya mimi sidhani kama kuna mwingine alishawahi kuyafanya[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
Niliwahi kugongwa muhuri kwenye t.ako na Mwalimu mkuu.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Reactions: JMF
Kuchelewa skonga afu kujificha kwenye mahindi, sjawah fanya morning speech always at toilet [emoji23][emoji23]
 
 
Nakumbuka tukiwa form Two ndo kwanza tunaanza kufahamu michepuo ya masomo

Kikundi chetu cha wavulana tisa tukawa tunajipambanua kwamba sisi ni Science na wengine nao wakawa wapenda masomo ya arts
Basi bana siku moja mwalimu wa English kaingia anafundisha baadae akatoa quiz

Rafiki yangu mmoja wakati mwalimu anapita kila kiti kusahihisha alivyofika kwake akakuta jamaa yangu amechemka karibu maswali yote teacher aka mind na akaamua kumtandika fimbo za mkononi tatu!!! [emoji4][emoji4]

Jamaa yangu akapandwa na hasira na maumivu ya viboko akajikuta amesusa na kuamua kutoka nje

Mwalimu akamwambia ukindoka humu hutahudhuria tena kipindi changu!!
Unajua jamaa alimjibu nini mwalimu???
"sawa sitaingia kwani nini............. somo lenyewe english "
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]

Wapambe wenzie tukaangua kicheko basi teacher alitumaind ile mbaya matokeo yake tuliadhibiwa wote na walimu kutuita ofisini tukala bakola za kutosha
SITASAHAU KISA KILE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…