Crazy things you did in secondary school

Crazy things you did in secondary school

Kukaa chooni hata masaa mawili kukwepa ukaguzi au mwl wa Zamu Akiwa mnonko Yan tutkaa hata mpk kutoka choon tunatuka choo kitupu aiseee!!!
 
Advance nakumbuka nilihamia bweni viatu vinavyonuka utavikuta kwenye ndoo tushakuwekea na soksi na marufuku kukuazimisha viatu skuli asbh utaviosha tu,wazembe wote dawa yao mikanda usiku.

nakumbuka jamaa mmoja anaitwa Nebbo alikuwa mchoyo sana basi one day jamaa wakachukua funguo malaya wakabeba ubwabwa wake kwenye trunker wakatoa layer ya juu ya maharage 'wakaupiga' ubwabwa wakarudishia mchanga then wakadress maharage juu as usual wakarudisha kwny trunker wakalock mshkaj asbh kabeba chai afungue trunker apige chai na ubwabwa wake wa jana, washkaji si wakajifanya kuomba wengi wamemzunguka kumbe wanamuinjoy hahaa kufungua hotpot akaanza kula asalaleeh! kutia mdomoni dooo alizomewa uchoyo ikawa mwisho.

mafinga MET
 
Advance nakumbuka nilihamia bweni viatu vinavyonuka utavikuta kwenye ndoo tushakuwekea na soksi na marufuku kukuazimisha viatu skuli asbh utaviosha tu,wazembe wote dawa yao mikanda usiku,...nakumbuka jamaa mmoja anaitwa Nebbo alikuwa mchoyo sana basi one day jamaa wakachukua funguo malaya wakabeba ubwabwa wake kwenye trunker wakatoa layer ya juu ya maharage 'wakaupiga' ubwabwa wakarudishia mchanga then wakadress maharage juu as usual wakarudisha kwny trunker wakalock mshkaj asbh kabeba chai afungue trunker apige chai na ubwabwa wake wa jana,washkaji si wakajifanya kuomba wengi wamemzunguka kumbe wanamuinjoy hahaa kufungua hotpot akaanza kula asalaleeh! kutia mdomoni dooo alizomewa uchoyo ikawa mwisho...mafinga MET

duuuu...hiki kipindi cha headmaster usangira nn....
 
Kukaa chooni hata masaa mawili kukwepa ukaguzi au mwl wa Zamu Akiwa mnonko Yan tutkaa hata mpk kutoka choon tunatuka choo kitupu aiseee!!!

Teh, ukitoka hapo unanuka mkojo balaa.
Mi nakumbuka ilikuwa ukitaka kwenda kujusaidia lazima uende bwenn ukabadili uvae taulo kwanza then ukimaliza you put on ua uniform back to class. Hahahahhh
 
Namkumbuka mwalimu wangu Maparachichi alikuwa mnoko mbaya!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Teh, ukitoka hapo unanuka mkojo balaa.
Mi nakumbuka ilikuwa ukitaka kwenda kujusaidia lazima uende bwenn ukabadili uvae taulo kwanza then ukimaliza you put on ua uniform back to class. Hahahahhh

Hahaha
 
Kukaa chooni hata masaa mawili kukwepa ukaguzi au mwl wa Zamu Akiwa mnonko Yan tutkaa hata mpk kutoka choon tunatuka choo kitupu aiseee!!!

Hii inanikumbusha Lyamungo secondary
 
Enzi za Ugumu na Utoto wa Kishua. Mtu anaamua kuogea Omo badala ya sabuni za kawaida eti aonekane mgumu.

yaan nakumbuka makaka wa mtaan enzi hizo wakijibishana pind wakiwa likizo nani mgum kuliko mwenzake
 
Kukaa chooni hata masaa mawili kukwepa ukaguzi au mwl wa Zamu Akiwa mnonko Yan tutkaa hata mpk kutoka choon tunatuka choo kitupu aiseee!!!

nakumbuka choo namba 9 na 10 vilikuwa havitumiki kujisaidia ila maalumu kujificha, tuliweka hadi viti vya kukaa!
 
Kuact unaumwa ili uletewe chakula kitamu na mapadri.Applies to AJ Bukinda seminary
 
Dah kwa wale walopita idod the headmaster RAYMOND MLASU (R.I.P) anawaita uwanja wa debate anatoa speech...!!! af ghafra anaondoka zake anawaacha kwnye taharuki sijui atarudi au vp......!!
bt all n all no body to compare with raymond mlasu (idodi)
 
Hahaaa duh mmenikumbusha mbali idodi iyo af mwezi wa ramadhan ugali wa daku umepikwa tangu sa 9 mchana watu tumetoka prepo fasta bwenini kwnda kuchkua vyombo kufika sehemu ya kugawia msos aanh...!! Kubabek kuna wapuuz wametuibia ugali wetu wa daku almost nusu na robo ya sufuria......!!!!

Anh hapo yaliongelewa maneno ya kiislam oh...... laana kum. astaghafirullah wengine tuwasomee albadili dah.

Ila kuna watu wana roho mbaya.
 
i used to jump of the walls and go to disco.
i rem also i used to kiss girls anytime i wanted.i was like trey songs.hahaha..
en i cant forget dat day i fought wit my ----un teacher who wanted my chiq.
xkul is crazy...
 
Wakati wa kengele ya kuingia darasani nilichelewa, mwalimu wa zamu akaniona naingia darasani nikiwa nimevaa sweta jekundu ila hakuangalia vizuri sura kakariri tu rangi ya sweta, alipoanza kunifukuzia nikaingia darasani nikavua sweta, wacha atafute na kuuliza watu, akanikosa
 
Back
Top Bottom