Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Advance nakumbuka nilihamia bweni viatu vinavyonuka utavikuta kwenye ndoo tushakuwekea na soksi na marufuku kukuazimisha viatu skuli asbh utaviosha tu,wazembe wote dawa yao mikanda usiku,...nakumbuka jamaa mmoja anaitwa Nebbo alikuwa mchoyo sana basi one day jamaa wakachukua funguo malaya wakabeba ubwabwa wake kwenye trunker wakatoa layer ya juu ya maharage 'wakaupiga' ubwabwa wakarudishia mchanga then wakadress maharage juu as usual wakarudisha kwny trunker wakalock mshkaj asbh kabeba chai afungue trunker apige chai na ubwabwa wake wa jana,washkaji si wakajifanya kuomba wengi wamemzunguka kumbe wanamuinjoy hahaa kufungua hotpot akaanza kula asalaleeh! kutia mdomoni dooo alizomewa uchoyo ikawa mwisho...mafinga MET
Kukaa chooni hata masaa mawili kukwepa ukaguzi au mwl wa Zamu Akiwa mnonko Yan tutkaa hata mpk kutoka choon tunatuka choo kitupu aiseee!!!
Teh, ukitoka hapo unanuka mkojo balaa.
Mi nakumbuka ilikuwa ukitaka kwenda kujusaidia lazima uende bwenn ukabadili uvae taulo kwanza then ukimaliza you put on ua uniform back to class. Hahahahhh
Nakumbuka siku ya kula wali J4 lakini viongozi wa chakula anajichotea wali wa kutosha anakulahadi Ijumaa
Kukaa chooni hata masaa mawili kukwepa ukaguzi au mwl wa Zamu Akiwa mnonko Yan tutkaa hata mpk kutoka choon tunatuka choo kitupu aiseee!!!
Enzi za Ugumu na Utoto wa Kishua. Mtu anaamua kuogea Omo badala ya sabuni za kawaida eti aonekane mgumu.
Kukaa chooni hata masaa mawili kukwepa ukaguzi au mwl wa Zamu Akiwa mnonko Yan tutkaa hata mpk kutoka choon tunatuka choo kitupu aiseee!!!
nakumbuka choo namba 9 na 10 vilikuwa havitumiki kujisaidia ila maalumu kujificha, tuliweka hadi viti vya kukaa!
Dah mkuu umenkumbsha mbali sana!!! Miaka ya 2009 kulikuwa kuna alosto kiasi kwamba mnakula ugali na dawa ya mswaki shuleni!!!
Niliwahi kupangishwa kitanda na kodi nikawa nalipa bila kupenda.