Crazy things you did in secondary school

Crazy things you did in secondary school

Advance tulikuwa tunawapiga picha wale form5 na simu na wanatakiwa walipie tulikuwa tunaita picha za utambulisho wa Dom tumewachapa sana bakora form5.

Kuna m1 alijifanya mbishi maana mara nyingi tulikuwa tunawatumia fm6 weny miili midogo kuna mshakj wangu akamwandikia barua " mm xx nmegoma kukaribishwa Dom kwahyo naenda kulala gesti" akaweka na sain dogo tukamwambia asepe barua tayar tunayo dogo akawa mzito tukamuelekeza nyumban kwa mkuu kama vp akapate hifadh ya kulala dogo akawa mzito akadai tumemuibia simu yake asee alipigwa na wadau alafu akaambiwa akashtak kwa mkuu pale dogo akajua kumbe hata mkuu haogopek ikabid aondoke siku ile alilala class na mabeg yake kesho asbh kaja tukamnyamazia na Dom tulimkataza asiingie anaomba msamah ikabid tumwlekez kwa mkuu akashtak vzr lakn akatuomba sana msamah tukamruhsu akae.

Mwingine alivyopokelewa Dom watu wakazma taa fm6 m1 akazima taa akasema lete mafutaa(hawakumfanya chcht) yule dogo mwezi mzima akawa akikutana na fm6 Anashka kichwa kama kachanganyikiwa

Tumekula sana kuku za walimu na Wanakjji plus mahindi,mihogo,ndizi na wadada wa kijijin+wamama.
 
~Ulitengeneza water heater kwa kutumia spring za vitanda. Usiku wa manane unachemsha mahindi ya shamba la shule. Container la kuchemshia mahindi ni plastic la nje la chupa ya chai iliyoondolewa flask yake, inashikiliwa upside-down, i.e mfuniko ndo unakuwa base, na bottom yake inafunguliwa kuwa ndo mdomo wa 'sufuria' lako. Heater inawekwa kwanza katikati, then mahindi yanakatwa vipande na kupangwa around the heater.

Ukimaliza kuchemsha unarudisha waya wa umeme juu ya dari ambako ndiko connection ilikofanyika, kwani ni marufuku kutumia umeme wa socket!
Umetishaa 😂
 
family's medicated soap hahahaaa
Hiyo ni baada ya kukacha shule mwez mzima ile kuonekan tu darasan nikaambiw ni define high kipengere 😅😂
 
Form one tuliitwa nyoya! siku moja form two wakazua seke seke la kunivamia usiku!! eti najfanya mjuaji nimetokea mjini!! habari nika zipata! ...so nikaenda nunua petrol km lita tano hivi!

nikaimimina kwenye kila chupa moja!! km tano ivi! (chupa tupu za pastick zilizochanganywa na kokoto)! kila chupa nikaiunganisha na uzi mreefu uliowekwa nta yenye petrol!

Basi wakaja kunivamia, mtu kama kumi hivi, pale pale! wkt wananifanyizia..... faster zaidi niliwasha kiberiti cha baruti, basi Milipuko yake mitano mikubwa hasa ya kutisha ! iliwachanganya wooote! wengine wakaumia, mbaya,

Mlipuko wa kwanza walishangaa kidogo dakika sifuri tena mwingine na mwingine ...ivo ivo ...Mpaka waalimu, wanafunzi walikusanyika kuja kuona usiku huo! kumetokea nini? kwa ile dharura!

Baadae ikajulikana ni wanafunzi flani wa form two walileta rabsha kwa dogo!! ndo walisababisha ile milipuko!! wanne out forever!! shule wakaikosa ! sita suspension! nikawa Rais mfalme mpaka naondoka pale heshima na adabu! .....mbinu hii alinifundisha uncle mjeda!
 
Enzi nikiwa form 6 bado wiki 1 nifanyie mtihani wa mwisho, nilikuwa natoka kuoga mtoni,nikakutana na mdada anatoka klinic ya manager, tena boys tupu,nikafunguka,manager akakubali,tukajipindua kwenye kichaka,tukamaliza yetu,sikuwa na usalama wowote,nikahisi nimeukwaa,nilipata stress balaa,nilivyomaliza Tu mtihani nikaenda kupima,nikajikuta -ve,maisha ya board balaa
 
Nko form five, nikakutwa naoga nje ya bafu na kma dkk 5 zilizopita walipita wanafunzi waliokua wakivuta 'msuba' wakaninong'oneza nisiwataje. Akaja discipline master akanihoji ni kina nani walopita, nkajitetea kwa kudai nlkua na sabuni machoni hivyo sikuwaona. Ticha akaona isiwe tabu, akanipa suspension ya wiki. Nkaenda kwa anko, nkamhadithia, akanMind kisha akadai turudi shuleni kesho ake. Ile tunerudi, yule discipline master akataka nifukuza, kumbe bna wanadaiana na anko [emoji23][emoji23]
Anko akamwambia 'Mwanangu kawa mhuni coz anadaiwa ada (of course nlkua nadaiwa kama laki nne flani) ndo maana kachizi. Hebu mrudishe shuleni, afu nipe laki tatu na nusu mwezi ujao' [emoji23][emoji23]
Mwalimu kuona hivyo, akawa mnyonge akakubali. Suspension ya wiki, ikawa ya siku moja. Baada ya hapo nkawa naitwa UNTOUCHABLE rastaa
 
Baada ya kuona kuwa teacher wa biology katangaza paper itakuwa ngumu na hakuna atakayetoboa kwa kupata A au B. Mimi na jamaa yangu aitwaye Kizito tuliamua kwenda kuiba paper kwenye computer ya secretary ili tuweze kutoboa.

Muda wa assembly wakati stuffs wote wapo kwenye ground ndio hapo tukapanga mipango ya kuingia ofisi ya secretary ili tuibe paper ya Biology. Kuwasha computer ikatoa mlio wa windows xp si second master akasikia. Dah ilikuwa msala hatari ilibidi tujifiche chini ya meza. Sitosahau
 
Tumesoma boarding Boys tupu,nimeingia form 1 shule na suruali tatu na mashati yangu ya tomato matatu yanawaka hatari.

watu walikua wezi ile shule ukianika shati ukigeuka hv kwenda kuchota maji ukirudi kama sio umebadilishiwa shati umewekewa lililo gina basi wameli iba lako kabisa.

nilijitahid kulinda nguo zangu ila wapi ziliibwa moja moja hadi nikabaki na 1 pair yani shati 1 suruali 1, tranka langu nalo wakapita nalo nikabaki mimi na madaftari yangu maana madaftari huwa siweki kwenye tranka

kitandani kwangu ndio library,tranka lilivyoibwa na nguo nlonayo ni 1 pair,nilikua SIjali wala sina habari na mtu nilikua nikitoka darasani nafua nguo zangu naanika nabaki UCHI yani plain natembea hivyo hivyo kila mahali.

waliniita MSANDAWEEEE (bushman) sikua nikivaa nguo kila ninapoenda naenda bila nguo siajli mtu.

Shati langu lililobaki nililikata kuanzia tumboni kuja chini nililikata lote siku za darasani navaa sweta ticha hajui shati langu lipo nusu.

Suruali yangu nikaitoboa matakoni kisha nikashonea kiraka makusudi kama Alama,nguo zangu zilibaki salama salmini na ndio ukawa mtindo wangu hadi sakata langu la kuibiwa nguo HEAD MASTER alipoingilia kati na kusema ole wa mtu aibe nguo zangu. Hapo ndio nikaanza kuwa smart.

ila form 2 na 3 yote nilikua naishi kama msandaweee,u smart nimeuanza form 4 baada ya jina kuwa kubwa shule nzima hamna asiemjua msandaweee hamna asiejua shati la msandawee likoje na suruali zake ule STAR ndio ulipelekea headmaster kunijua na kuniita ofisini kuniuliza KULIKONI.
 
Umetisha bushman[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu mm pia nlifanya chuo, tofauti mm nlimis test, kwa wale mliosoma dsm mnamkumbka dr Nyirabu wa PS deptment, chezea kumis test bila sababu za msingi
R.I.P prof.Mohabe Nyirabu fundi wa International Relations.Anakwambia "if you scratch my back,i scratch yours!"
 
Hii kitu mm pia nlifanya chuo, tofauti mm nlimis test, kwa wale mliosoma dsm mnamkumbka dr Nyirabu wa PS deptment, chezea kumis test bila sababu za msingi
Sasa Nyirabu hakurudi kwenye pepa kuangalia waliofanya si huwa wanaandika majina,signature na adm.no?

Au ndo bahati ilikuwa kwako?mikazo kama Adamoo.
 
Back
Top Bottom