CRBD tanzania's leading bank on it's death bed.

CRBD tanzania's leading bank on it's death bed.

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
the other day, Geza Ulole came here with wild claims that CRDB tanzania's leading bank(equivalent to Kenya's stima sacco) had the largest loan book this sides of the world😱 suffice to say, tulimpa vidonge ki sawasawa. anyway, what he did not tell us is that it-CRDB's profit of 36 billion madafu money( equivalent to KES 1.5 billion) is half what they made in 2016. let's just pose for a moment and think about that!
yaani tanzania ya vi-wonders biggest bank in 2017 made 36billion less than it made in 2016. This is a clear indication of the trajectory the whole economy is taking- backwards. I can bet my 2 crystal balls that when CRDB reports a loss in 2019 as it will(what with the impending retirement of Dr. Kimei) it will be bought by UNITAS or even Muhasibu sacco for peanuts.
IMG_20180519_183551_421.JPG

IMG_20180519_183614_017.JPG

IMG_20180519_183652_766.JPG

IMG_20180519_183724_519.JPG

IMG_20180519_183751_665.JPG

IMG_20180519_183845_598.JPG
 
Uchumi wa pyongyang una pumulia kwa machine😀😀😀@ichoboy01 pole sana😀😀😀.
 
Moderator badilisha kichwa to CRDB na sio CRBD. samahani kwa hiyo mix up.
 
Habari wameshaipata loud and clear.
haya wacha walambe lolo sasa. btw naomba kama mtu anaweza ku confirm kama Dr. Kimei anatokea Nandi,Bomet au Uasin Gishu county.......
 
Loan portfolio yao kubwa ni wafanyabiashara unategemea nini kama biashara zenyewe ndio hizi.
 
Is that a bank or a Sacco profit!? I bet the chairman of combined Nairobi matatu Saccos would resign and go in shame if they were to post such peanuts as annual profit!
 
Sasa kumbe ni profit imeshuka, thought ni loss kabisa. Hizi si ni challenges tu hu occur sometimes and they doesn't reflect the situation ya uchumi, haya emb share profits za your banks and compare them with previous years
 
Kama kijana niliyesoma account, japo kidogo nimesoma uchumi.
Wakenya waliowengi hawajui mambo. Hii ni kutokana kwamba wanajishughulisha sana na kusoma kingereza badala ya kusoma issues.
Kwa mujibu wa account kuna ripoti nyingi na kila moja ipo na tafsiri yake.
Ninaweza kuelezea ripoti za aina mbili
1. Profit and Loss Report
2. Balance sheet Report

Kwenye Profit and Loss inakuonesha Revenue and expenditure haiwezi kukuonesha state of business.
Kwenye financial year moja kuna mambo mengi yanaweza kutendeka. Kwamba Revenue inaweza ikawa kubwa lakini humo ndani ya Revenue matumizi yakaongezeka kutokana na investment ambayo itatoa future revenue.

Ili uweze kuona biashara yako ipo vizuri nenda kaanze kutafsiri balance sheet.
Huko utakutana na vitu vinaitwa Asset na Liability.
Kwenye balance sheet kuna ratios mbalimbali kila moja inatafsiri.
Halafu unatakiwa ujue kijana kwamba Asset zimegawanyika katika makundi mawili.
1. Non Current Assets
2. Current Assets
Kama nilivyosema rations zipo nyingi. Mfano

Current Ratio = Current Assets / Current Liabilities
If Ratio > 1 Biashara yako ipo vizuri. Tafsiri yake kwamba ikiwa wale wanaokudai madai ya muda mfupi wakija leo kukudai utawalipa tu bila wasiwasi na biashara yako kuendelea.

Hiyo nimetoa mifano tu. Kijana mambo hayo hayaendi kwa mihemko tu na kukurupuka kupiga kelele. Inabidi uwe detailed zaidi. Je inajua investments zipi wamezifanya? unajua wameajili watu wangapi(Mishahara imeongezeka)? Hivi huoni kuwa kuna watu wanaodaiwa ambao kwa sasa tutawaita bad debtors watapunguza profit? Hujui kuwa hao bad debtors watafuatiliwa na wengine mali zao zitachukuliwa kwenye next financial year?
 
Kama kijana niliyesoma account, japo kidogo nimesoma uchumi.
Wakenya waliowengi hawajui mambo. Hii ni kutokana kwamba wanajishughulisha sana na kusoma kingereza badala ya kusoma issues.
Kwa mujibu wa account kuna ripoti nyingi na kila moja ipo na tafsiri yake.
Ninaweza kuelezea ripoti za aina mbili
1. Profit and Loss Report
2. Balance sheet Report

Kwenye Profit and Loss inakuonesha Revenue and expenditure haiwezi kukuonesha state of business.
Kwenye financial year moja kuna mambo mengi yanaweza kutendeka. Kwamba Revenue inaweza ikawa kubwa lakini humo ndani ya Revenue matumizi yakaongezeka kutokana na investment ambayo itatoa future revenue.

Ili uweze kuona biashara yako ipo vizuri nenda kaanze kutafsiri balance sheet.
Huko utakutana na vitu vinaitwa Asset na Liability.
Kwenye balance sheet kuna ratios mbalimbali kila moja inatafsiri.
Halafu unatakiwa ujue kijana kwamba Asset zimegawanyika katika makundi mawili.
1. Non Current Assets
2. Current Assets
Kama nilivyosema rations zipo nyingi. Mfano

Current Ratio = Current Assets / Current Liabilities
If Ratio > 1 Biashara lako ipo vizuri. Tafsiri yake kwamba ikiwa wale wanaokudai madai ya muda mfupi wakija leo kukudai utawalipa tu bila wasiwasi na biashara yako kuendelea.

Hiyo nimetoa mifano tu. Kijana mambo hayo hayaendi kwa mihemko tu na kukurupuka kupiga kelele. Inabidi uwe detailed zaidi. Je inajua investments zipi wamezifanya? unajua wameajili watu wangapi(Mishahara imeongezeka)? Hivi huoni kuwa kuna watu wanaodaiwa ambao kwa sasa tutawaita bad debtors watapunguza profit? Hujui kuwa hao bad debtors watafuatiliwa na wengine mali zao zitachukuliwa kwenye next financial year?
Kweli umesoma accounting. Hongera
 
Back
Top Bottom