Waliwahi kufunga akaunti ya mtoto. Nikawafata kuuliza wanasema ni dormant.
Nikawambia dormant kivipi wakati mwaka mzima kila mwezi kuna standing order inapeleka hela humo?
Wakasema eti tatizo hauwithdraw. Nikasema the aim ya akaunti ya watoto ni kudeposit sio kuwithdraw?
Wakaniambia lazima ni activate. Ku activate kwnyw sasa ni process ndefuuuu na unalipia.
Nikawaza pesa yangu halafu initese? Nikahamisha pesa zoooote fasta baada ya kuactivate.
Kuna bank mbadala nikawa recommended (siitaji jina) walinifuata nilipo, wakanifungulia akaunti yangu na ya mtoto. Na sipati shida hizi zote huu mwaka unakaribia kuisha sasa