CRDB Bank customers

Sio kosa lake mkuu, wengi tumesoma kwa neema tu.

Tumshukuru Mungu kwa hilo.

Kusoma sio tena eti Mungu!

Tufikie kiwango kusoma ni lazima na haki ya msingi kwa kila raia!

Mtoto asieenda shule wazazi wake wafungwe!

Mtu mzima Asieenda chuoni achapwe na afungwe!

Ifikie kipindi kusoma iwe haki ya kila mtu kama ilivyo kula au kupumua!

Nchi itoe hii haki wasiachiwe wananchi maana hawajui lolote
 

[emoji28][emoji28] mkuu mbona kama una matatizo yako huko unatafutia pa kutolea stress
 
Ume andika nn sa apa
 
Ndugu watanzania ifike mahala tuamini sio kila anaejua kingereza ni msomi na ata hivyo wasomi walio wengi wanaajiliwa na wasio soma na katika matajiri wengi walio wengi sio wasomi na ukibaatika wewe kusoma aimaanishi wewe ndio mjuaji sana
Na huko mabenki wanao deposit pesa nyingi ni wale wenye maisha ya kati kwa wingi wao na hali zisizofanana
Tukipende kiswahili chetu na kukienzi mtoa post toa lugha rafiki amabayo aibagui na kila mmoja asome na kuelewa humu jf waliopost lugha iliyokuja na meli watu wengi awachangi either kwa kutokujua au kujua ila sio lugha shawishi kusoma ni hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…