Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Haha! nna ndoto ya kufanya biashara ya kimataifa ambayo pesa itakua inaingia nyingi so nataka nijue kiwango ambacho bank yangu inapokea ili nsisumbuke kuzidisha miamala.Kama ushafanya Dili haramu w@ambie wakupe cash ili msianze kufuatiliana na CRDB
Ufungue acc ya biasharaWakuu habari
Naomba kujua kiwango cha juu cha mwisho ambacho kama mteja wa CRDB naweza kupokea kwenye account yangu ya mshahara.
Kama hata hii ya mshahara inaweza pokea MILION10 hakuna haja.Ufungue acc ya biashara
Ubaya wa bank za kibongo, zikiingia pesa nyingi. Unaanza kusumbuana na mamlaka. Hao CRDB lazma wakuite uhojiwe huko Account ikizuiwa mpaka utoe maelezoHaha! nna ndoto ya kufanya biashara ya kimataifa ambayo pesa itakua inaingia nyingi so nataka nijue kiwango ambacho bank yangu inapokea ili nsisumbuke kuzidisha miamala.
Duh! asee so kiwango gani cha mwisho hawafuatiliiUbaya wa bank za kibongo, zikiingia pesa nyingi. Unaanza kusumbuana na mamlaka. Hao CRDB lazma wakuite uhojiwe huko Account ikizuiwa mpaka utoe maelezo