Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks for telling kweli mzuri.huyo aliye tokea mara nyingi kuliko wenzake kashonea weaving
Du Tiba!, ama kweli!, kwa nini lakini wanawake hampendani?!, yaani wewe Tiba unawaoneaje wivu wadada wa watu hata huwajui?!. Wadada hao wako natural wamependeza, unawasingizia mkorogo?!, that's not fair!. Au kwa vile wanafanya kazi nzuri, ofisi nzuri, wanalipwa pesa nzuri, mazingira ya kazi ni full kipupwe, hivyo wanaungua jua kidogo sana!, hii inapelekea wengi wao kung'aa unadhani ni mkorogo?!. No way!.Maua na mikorogo, wapi na wapi?
Tiba
Ni kazuri!!Ni yule mzuri kuliko wote!.
Pasco
Du Tiba!, ama kweli!, kwa nini lakini wanawake hampendani?!, yaani wewe Tiba unawaoneaje wivu wadada wa watu hata huwajui?!. Wadada hao wako natural wamependeza, unawasingizia mkorogo?!, that's not fair!. Au kwa vile wanafanya kazi nzuri, ofisi nzuri, wanalipwa pesa nzuri, mazingira ya kazi ni full kipupwe, hivyo wanaungua jua kidogo sana!, hii inapelekea wengi wao kung'aa unadhani ni mkorogo?!. No way!.
Hizi picha nimepiga mwenyewe, mimi ni mteja pale!, hakuna mkorogo wowote hapo!.
NB. Pia uwe na uwezo wa kudistinguish poda na mkorogo!, kama ni huyo cheupe, huyo cheupe ni cheupe original tena kule kwenye vyeupe, ila nakiri, kimetupia hapo poda nyingi kidogo!.
Wadada pendaneni!.
Pasco
Malkia wa Sheba, asante kwa ukweli huu, sisi wengine japo tumeoa, na tuna familia zetu, huwa tunajisikia raha kuhudumiwa na wasichana/wanawake wazuri, tena huyo uliyemtaja nadhani jana nimemuona tena akiwa natural zaidi, kumbe hata nywele anazo sijui nyie wadada bwana, unakuta mtu umejaalliwa, nywele unazo, sijui weaving za nini?!.Majungu na wivu tu kama huyo niliyemtaja ni mzuri natural na ni mweupe tangu utotoni namjua nimekua nae na kusoma nae natunaishi jirani kama ndugu na wala sio nung'a embe amesoma na kaolewa.
Fitina titi la paka halifai kwa mtindi.
Malkia wa Sheba, asante kwa ukweli huu, sisi wengine japo tumeoa, na tuna familia zetu, huwa tunajisikia raha kuhudumiwa na wasichana/wanawake wazuri, tena huyo uliyemtaja nadhani jana nimemuona tena akiwa natural zaidi, kumbe hata nywele anazo sijui nyie wadada bwana, unakuta mtu umejaalliwa, nywele unazo, sijui weaving za nini?!.
Pasco
La kubadilisha muonekano tuu for what?, hivi "wenyewe" huwa hawaambiagi nyinyi kuwa you always look at your best when you are natural?!.Hahaaaa ni kubadilisha muonekano tu.
Hata yangechanua for one minute only!, kuchanua ni kuchanua tuu, au linapendeza likichanua, na lile linalichanua kidogo tuu na kufunika, ndilo linalopendeza zaidi maana ukiliwahi wakati limechanua!, utapenda tuu kuliangalia tuu!.Maua mengine ni maua saa sita yanachanua saa 6 tu