HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Relax mkuuSIJUI HII TABIA YA KUTOJALI HELA INAKUSAIDIAJE!
KWAHIYO UNATAKA JAMAA AONE HICHO KITENDO NI KAWAIDA TU KISA AJIFANYE MWANAUME KWAMBA ANA HELA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Relax mkuuSIJUI HII TABIA YA KUTOJALI HELA INAKUSAIDIAJE!
KWAHIYO UNATAKA JAMAA AONE HICHO KITENDO NI KAWAIDA TU KISA AJIFANYE MWANAUME KWAMBA ANA HELA?
Ushauri umepokelewa, nitafanyia kazi ili nijiridhishe zaidiKwa uzoefu wangu issue kama hiyo unakuta kuna muamala uliufanya labda mwezi fulani hawakukata Makato yao, ila wanakuja kuyakata badae.
Vuta statement ya miezi kama sita hivi, fungua hiyo stement kisha copy moja wapo ya hizo transaction id za makato uitumie kusachi kwenye hiyo pdf, kwenye chrome kuna option ya kusachi text kwenye pdf. Ukisachi itakuletea muamala husika kwasababu transaction id ya muamala husika inafanana na transaction id ya makato ya huo muamala.
Kama hiyo transaction id itapatikana kwenye makato pekeake na muamala husika haupo basi hapo watakuwa wamekupiga.
NB, transaction id ni hizo namba zilizoandikwa REF: kisha mchanganyiko wa namba na herufi
Wameamua kufunga mwaka nawewe kwa kujilia kwa urefu wa kamba yaoLeo nimeenda kwenye moja ya ATM za CRDB Bank nikiwa na nia ya kutoa fedha kiasi cha 200k+. baada ya majaribio kadhaa ya kujaribu kutoa kiasi hicho ambacho nilikuwa na uhakika ninacho kwenye akaunti kushindikana ikabidi niangalie salio, sikuamini baada ya kukuta kiasi cha Tshs. 96,280.
Kimekatwa kwenye akaunti yangu bila mimi mwenyewe kujua. Nimepiga simu call centre yao majibu niliyopewa eti fedha ilikatwa tarehe 31.12.2024 kwa miamala ambayo nimekuwa nikifanya mfano kutoa kwenye ATM ambayo siyo ya crdb na kusafiri nje ya Nchi kitu ambacho sijawahi kufanya.
Nauchukulia huu kama wizi kwasababu Statement inaonesha miamala ambayo imefanyika tarehe hiyo na mimi sikufanya miamala hiyo kwa siku hiyo ambayo jumla yake ni Tshs. 96,280. Screen shot imeambatishwa.
View attachment 3190854View attachment 3190855
Hawa watu wana makato ambayo muda mwingine huwezi yaelewa wanakata nini. Kukuta umekata 50000, 30000 bila sababu ni kawaida kwaoLeo nimeenda kwenye moja ya ATM za CRDB Bank nikiwa na nia ya kutoa fedha kiasi cha 200k+. baada ya majaribio kadhaa ya kujaribu kutoa kiasi hicho ambacho nilikuwa na uhakika ninacho kwenye akaunti kushindikana ikabidi niangalie salio, sikuamini baada ya kukuta kiasi cha Tshs. 96,280.
Kimekatwa kwenye akaunti yangu bila mimi mwenyewe kujua. Nimepiga simu call centre yao majibu niliyopewa eti fedha ilikatwa tarehe 31.12.2024 kwa miamala ambayo nimekuwa nikifanya mfano kutoa kwenye ATM ambayo siyo ya crdb na kusafiri nje ya Nchi kitu ambacho sijawahi kufanya.
Nauchukulia huu kama wizi kwasababu Statement inaonesha miamala ambayo imefanyika tarehe hiyo na mimi sikufanya miamala hiyo kwa siku hiyo ambayo jumla yake ni Tshs. 96,280. Screen shot imeambatishwa.
View attachment 3190854View attachment 3190855
MKUU HELA ANAYOTAFUTA MWANAUME KWA JASHO INATHAMANI HATA KAMA SENTI KULIKO YA KWAKO UNAYOIPATA KWA KUTUMIA MTAROUnashindwaje kutoa laki mbili mwanaume ?
Kwa kweli wameufunga na mimiWameamua kufunga mwaka nawewe kwa kujilia kwa urefu wa kamba yao
Aiseee😕Hawa watu wana makato ambayo muda mwingine huwezi yaelewa wanakata nini. Kukuta umekata 50000, 30000 bila sababu ni kawaida kwao
96000; uache kazi zako utafute wakili msomi uanze kesi???!!!Nina uhakika Mkuu,. ngoja nitafute wakili msomi
Tena hao wenye hela ndio wana mahesabu balaaMwenye hela ndio akaunti yake inakatwa hela hovyo hovyo anakaa kimya tu?
Taking a banking giant to a kangaroo court full of corrupt officials..HII BANK INA MAKATO MENGI YASIYO NA MAANA.
KAMA UNA UHAKIKA HUKUFANYA TRANSACTIONS,PELEKA MAHAKAMANI HAWA.