KERO CRDB BANK Mlichonifanyia tarehe 31.12.2024 ni zaidi ya unyang'anyi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu,hizo figure ni Tsh au US dollar?
Kama ni Tsh January hii utatoboa vipi?
 
Ushauri umepokelewa, nitafanyia kazi ili nijiridhishe zaidi
 
Wameamua kufunga mwaka nawewe kwa kujilia kwa urefu wa kamba yao
 
Hawa watu wana makato ambayo muda mwingine huwezi yaelewa wanakata nini. Kukuta umekata 50000, 30000 bila sababu ni kawaida kwao
 
Xmass wame piga pin account yangu baada ya kuingiza 36ml hadi niende ofisini kwao, pimbi hawa hawataki watu tupandishe figure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…