Kiukweli CRDB wanaumiza wateja sana. Fikiria mtumishi amekopa mkopo wa miaka 7 amekatwa bima tuseme 2m. Baada ya miaka miwili mtumishi anatop up anakopa Tena mkopo tuseme wa miaka saba Tena, CRDB wanamkata Tena huyu mteja bima ya miaka 7 Tena. Huu ni utapeli wa wawazi lakini mamlaka husika km TIRA wamelala, sijui na wao ni wanufaika wa huu wizi.hata
Hakuna benk nzuri na mbaya Tz hiiBANK NZURI NI EQUITY NA EXIM PEKEE.
CRDB NI KIKUNDI RASMI CHA WEZI.
Standing oda mbona kwangu inapiga kazi kama kawaCrdb mje mjibu mambo yenu huku,mmeweka standing order kwenye app lakini makato hayafanyiki kama mtu alivyoidhinisha, kuna haja gani ya kuwa na app ambayo haifanyii kazi ulichoapply
Sure aseeMimi nili-renew card kupitia simbanking app, siku nimekwenda kuchukua hiyo card mpya nikapewa form ya kusign. Ile nimemaliza kusign naambiwa saini siyo sahihi natakiwa kwenda kuapa mahakamani kama kweli kadi/saini ni yangu. Hii ni account ambayo nimekuwa nayo tangu mwaka 1996 na nimekuwa niki-renew kadi kila inapokwisha bila shida. CRDB badilikeni tumieni mfumo wa biometric kusajili wateja ili kuepuka mausumbufu ya kubadika kwa sign za wateja wenu. Mtu ana kadi zaidi ya miaka 25 ni rahisi kusahau saini aliyotumia kusajilia kadi mara ya kwanza
NI MAONI YAKO.Hakuna benk nzuri na mbaya Tz hii
shida sanaNi wasaa sasa izi regulatory body ambazo ziko Responsible zifanye intervention kuona what's being hidden
Hakuna uvugu vugu kwenye suala la kutunza pesa za watu,Hakuna benk nzuri na mbaya Tz hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wekaa wakupurureee dear. LolUuuuwwwiiiiiiiiiiiii na nmetoka ku renew kadi juzi tu,,sasa siweki pesa ng'oooo wamenikosa
Hakika siweki,,kuna ka akiba kalikuepo jana baada ya huu uzi nasema nicheki,aseeee wamepurura ka hela bila sababu na wiki ilopita kalikuepo😕😕😕[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wekaa wakupurureee dear. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23] CRDB ni Zoa Zoa zaidi ya Sabuni.Hakika siweki,,kuna ka akiba kalikuepo jana baada ya huu uzi nasema nicheki,aseeee wamepurura ka hela bila sababu na wiki ilopita kalikuepo[emoji53][emoji53][emoji53]
wamenikosa,,na kadi lao naweza waachia nilienda ku renew,wafungie tena kenge hawa.[emoji23][emoji23][emoji23] CRDB ni Zoa Zoa zaidi ya Sabuni.
michezo ya gizaniHakika siweki,,kuna ka akiba kalikuepo jana baada ya huu uzi nasema nicheki,aseeee wamepurura ka hela bila sababu na wiki ilopita kalikuepo😕😕😕
Hakika siweki,,kuna ka akiba kalikuepo jana baada ya huu uzi nasema nicheki,aseeee wamepurura ka hela bila sababu na wiki ilopita kalikuepo😕😕😕
Washenzi hawamichezo ya gizani