KERO CRDB hiki mnachofanya sio sahihi, App inaandika ni bure kuangalia taarifa fupi ya miamala, baada ya kuangalia unakatwa Tsh 450

KERO CRDB hiki mnachofanya sio sahihi, App inaandika ni bure kuangalia taarifa fupi ya miamala, baada ya kuangalia unakatwa Tsh 450

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kiukweli CRDB wanaumiza wateja sana. Fikiria mtumishi amekopa mkopo wa miaka 7 amekatwa bima tuseme 2m. Baada ya miaka miwili mtumishi anatop up anakopa Tena mkopo tuseme wa miaka saba Tena, CRDB wanamkata Tena huyu mteja bima ya miaka 7 Tena. Huu ni utapeli wa wawazi lakini mamlaka husika km TIRA wamelala, sijui na wao ni wanufaika wa huu wizi.
 
Crdb mje mjibu mambo yenu huku,mmeweka standing order kwenye app lakini makato hayafanyiki kama mtu alivyoidhinisha, kuna haja gani ya kuwa na app ambayo haifanyii kazi ulichoapply
Standing oda mbona kwangu inapiga kazi kama kawa
 
Uuuuwwwiiiiiiiiiiiii na nmetoka ku renew kadi juzi tu,,sasa siweki pesa ng'oooo wamenikosa
 
Mimi nili-renew card kupitia simbanking app, siku nimekwenda kuchukua hiyo card mpya nikapewa form ya kusign. Ile nimemaliza kusign naambiwa saini siyo sahihi natakiwa kwenda kuapa mahakamani kama kweli kadi/saini ni yangu. Hii ni account ambayo nimekuwa nayo tangu mwaka 1996 na nimekuwa niki-renew kadi kila inapokwisha bila shida. CRDB badilikeni tumieni mfumo wa biometric kusajili wateja ili kuepuka mausumbufu ya kubadika kwa sign za wateja wenu. Mtu ana kadi zaidi ya miaka 25 ni rahisi kusahau saini aliyotumia kusajilia kadi mara ya kwanza
Sure asee
 
Hawa CRDB ni bank inayofanya ujanjaujanja kwa wateja wake, ukichukua Mkopo wa Wafanyakazi mwisho wa siku wanakwambia kwamba kuna Charges walisahau kukata. Hivyo kama ulibakiza fedha kiasi kwenye account yako, unakuta Kuna baadhi ya fedha wameshafyeka. Ukiwauliza kwanini wamekata ni blablaa nyingi tu.
 
Uuuuwwwiiiiiiiiiiiii na nmetoka ku renew kadi juzi tu,,sasa siweki pesa ng'oooo wamenikosa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wekaa wakupurureee dear. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wekaa wakupurureee dear. Lol
Hakika siweki,,kuna ka akiba kalikuepo jana baada ya huu uzi nasema nicheki,aseeee wamepurura ka hela bila sababu na wiki ilopita kalikuepo😕😕😕
 
Hakika siweki,,kuna ka akiba kalikuepo jana baada ya huu uzi nasema nicheki,aseeee wamepurura ka hela bila sababu na wiki ilopita kalikuepo[emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23] CRDB ni Zoa Zoa zaidi ya Sabuni.
 
Ni wezi kweli yan me ilikua kila nkitoa hela lazima niangalie balance ila mwisho wa siku sielewi makato nimeacha kuchek shit doesnt add up
 
Hawa jamaa mwisho wa Mwaka wanatangaza kwamba wameipa Serikali Gawio Kubwa la billions of money kumbe wanakuwa wamefanya janjanjaja tu.
 
Ukiwa sensitive na makayo utakubaliana na mimk bora utumie modern local ways za kuapta pesa yako.
1. Dirishani
2. Utumie atm mambonya app, hnatjmia kwenye kusent hela tena same bank mengine waachie wavivu wa kupiga hesabu za kuliwa
 
Hakika siweki,,kuna ka akiba kalikuepo jana baada ya huu uzi nasema nicheki,aseeee wamepurura ka hela bila sababu na wiki ilopita kalikuepo😕😕😕
michezo ya gizani
 
Back
Top Bottom