Mimi nili-renew card kupitia simbanking app, siku nimekwenda kuchukua hiyo card mpya nikapewa form ya kusign. Ile nimemaliza kusign naambiwa saini siyo sahihi natakiwa kwenda kuapa mahakamani kama kweli kadi/saini ni yangu. Hii ni account ambayo nimekuwa nayo tangu mwaka 1996 na nimekuwa niki-renew kadi kila inapokwisha bila shida. CRDB badilikeni tumieni mfumo wa biometric kusajili wateja ili kuepuka mausumbufu ya kubadika kwa sign za wateja wenu. Mtu ana kadi zaidi ya miaka 25 ni rahisi kusahau saini aliyotumia kusajilia kadi mara ya kwanza