Kwenye app ya simbanking kuna sehemu ya Taarifa ya akaunti, ukichagua taarifa fupi ya miamala 10 iiyopita, utaandikwa jumla ya makato ni shilingi 0.00
Ajabu ukithibitisha kuangalia miamala unakatwa shilingi 380
Ninaumia sana siwezi kuangalia hata taarifa fupi ya miamala yangu maana makato tayari ni mengi kila mwezi nakatwa, kila mwaka makato ya uendeshaji wa kadi ya bank, kila nikitoa pesa nakatwa, sijakaa sawa nakatwa vat.
sijaweza kuweka screenshot sababu app imedhibiti lakini kama una app unaweza kujaribu