KERO CRDB hiki mnachofanya sio sahihi, App inaandika ni bure kuangalia taarifa fupi ya miamala, baada ya kuangalia unakatwa Tsh 450

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ukiwa sensitive na makayo utakubaliana na mimk bora utumie modern local ways za kuapta pesa yako.
1. Dirishani
2. Utumie atm mambonya app, hnatjmia kwenye kusent hela tena same bank mengine waachie wavivu wa kupiga hesabu za kuliwa
NANI ALIKUAMBIA UKICHUKULIA DIRISHANI HAWAKATI? WANAKATA KAMA KAWAIDA. HATA UKITOA KUPITIA ATM WANAKATA PIA SO HUDUMA PEKEE NAONA NI FREE NI KUTANSFER HELA KUTOKA ACCOUNT YAKO YA CRDB KWENDA ACCOUNT NYINGINE YA CRDB,, BASIIII..VINGINE VYOTEEEE MAKATO KAMA KAWAIDA NI BALAAA MNO, NDO MAANA WATU WENGI WANAFUNGA ACCOUNT ZAO NI BORA HATA KUWEKA KWENYE SIMU MAANA NINAFUU KIDOGO
 
Kwenye app ya simbanking kuna sehemu ya Taarifa ya akaunti, ukichagua taarifa fupi ya miamala 10 iiyopita, utaandikwa jumla ya makato ni shilingi 0.00

Ajabu ukithibitisha kuangalia miamala unakatwa shilingi 380

Ninaumia sana siwezi kuangalia hata taarifa fupi ya miamala yangu maana makato tayari ni mengi kila mwezi nakatwa, kila mwaka makato ya uendeshaji wa kadi ya bank, kila nikitoa pesa nakatwa, sijakaa sawa nakatwa vat.

sijaweza kuweka screenshot sababu app imedhibiti lakini kama una app unaweza kujaribu
Yani CRDB naelekea kuicha , makato ya kutosha .
 
Mimi nili-renew card kupitia simbanking app, siku nimekwenda kuchukua hiyo card mpya nikapewa form ya kusign. Ile nimemaliza kusign naambiwa saini siyo sahihi natakiwa kwenda kuapa mahakamani kama kweli kadi/saini ni yangu. Hii ni account ambayo nimekuwa nayo tangu mwaka 1996 na nimekuwa niki-renew kadi kila inapokwisha bila shida. CRDB badilikeni tumieni mfumo wa biometric kusajili wateja ili kuepuka mausumbufu ya kubadika kwa sign za wateja wenu. Mtu ana kadi zaidi ya miaka 25 ni rahisi kusahau saini aliyotumia kusajilia kadi mara ya kwanza
Kumbe inawezekana kure new kadi kwa Sim banking mkuu?
Ndio nimejua hii,maana ya kwangu inakaribia kuisha na sitaki niende kwenye ofisi zao kwanza.
 
toa pesa zote kabla ya kurenew, ukiweza ku renew ndio ujaze upya
 
Bora hiyo NMB huku katavi ukienda ATM
Wameweka noti za Elfu mbilimbili halafu uwezo wa Ile mashine mwisho kutoa noti 40.
Kwa hiyo kama unahitaji laki nane unaingiza Hadi unachoka wao wanakata makato Yao tu
 
Itakuwa wameona huko Katavi wengi wanatoa mbili mbili
 
NANI ALIKUAMBIA UKICHUKULIA DIRISHANI HAWAKATI? WANAKATA KAMA KAWAIDA. HATA UKITOA KUPITIA ATM WANAKATA PIA SO HUDUMA PEKEE NAONA NI FREE NI KUTANSFER HELA KUTOKA ACCOUNT YAKO YA CRDB KWENDA ACCOUNT NYINGINE YA CRDB,, BASIIII..VINGINE VYOTEEEE MAKATO KAMA KAWAIDA NI BALAAA MNO, NDO MAANA WATU WENGI WANAFUNGA ACCOUNT ZAO NI BORA HATA KUWEKA KWENYE SIMU MAANA NINAFUU KIDOGO
Unafuu wa makato na kiasi cha pesa unachotoa. Mfano ukienda dirashani ukitoa 5m ni tofauti na kwenda kwa wakala na ukatoa 5m.
Ukitoa pesa kwa wakala 400k ni gharama kuliko kutoa kwa Atm.
 
Ukiwa sensitive na makayo utakubaliana na mimk bora utumie modern local ways za kuapta pesa yako.
1. Dirishani
2. Utumie atm mambonya app, hnatjmia kwenye kusent hela tena same bank mengine waachie wavivu wa kupiga hesabu za kuliwa
Makato hayakwepeki hata utolee dirishani

1738754659763.png
 
NANI ALIKUAMBIA UKICHUKULIA DIRISHANI HAWAKATI? WANAKATA KAMA KAWAIDA. HATA UKITOA KUPITIA ATM WANAKATA PIA SO HUDUMA PEKEE NAONA NI FREE NI KUTANSFER HELA KUTOKA ACCOUNT YAKO YA CRDB KWENDA ACCOUNT NYINGINE YA CRDB,, BASIIII..VINGINE VYOTEEEE MAKATO KAMA KAWAIDA NI BALAAA MNO, NDO MAANA WATU WENGI WANAFUNGA ACCOUNT ZAO NI BORA HATA KUWEKA KWENYE SIMU MAANA NINAFUU KIDOGO
 
Yani CRDB Bank Kila ukifanya huduma yoyote Kwa sim banking ni mwendo wa kukatiwa tu .
 
Back
Top Bottom