Bora mpigwe tu kwa nini mnaweka hela zenu kwenye benki za watu wa migombani😆😆😆Mimi nimeshaibiwa sana , hawa jamaa
Kuna wizi mkubwa sana wanahusika wafanyakazi wa bank. Watu wasiokuwa na ulelewa au elimu ya kutosha ndiyo wahangaKwenye bank kuna aina mbili tu ya miamala in and out.
Sasa sijui pesa zinaibiwaje, mm niliwaacja baada ya kuona wana vimakato vingi vingi unnecessary
Kuna wizi mkubwa sana wanahusika wafanyakazi wa bank. Watu wasiokuwa na ulelewa au elimu ya kutosha ndiyo wahanga
Ukabila tena , bank zote za wazungu , shule mpaka mahospil . nyie ni madadli A.K.A machawa
Haya bana. Hebu kula chuma hicho chini hapo. Can you imagine hapo ni kijijini Marangu.Ukabila tena , bank zote za wazungu , shule mpaka mahospil . nyie ni madadli A.K.A machawa
Kwani ni ushamba au , mbona mjini kumechona na hapo kuna nn cha maana ?bado mshamba sana..Onesha hata nyuma ya ghorofa ya vioo , hapo kawaida sana , mabati ya kutu mengi tu .Haya bana. Hebu kula chuma hicho chini hapo. Can you imagine hapo ni kijijini Marangu.
View attachment 3627940
Monetary doctor min -me
adriz de mbusii
Wee accumen kwa chuki tu kwa wachaga 😆😆😆Kwani ni ushamba au , mbona mjini kumechona na hapo kuna nn cha maana ?bado mshamba sana..Onesha hata nyuma ya ghorofa ya vioo , hapo kawaida sana , mabati ya kutu mengi tu .
Hapo hakuna cha kushangaa , nyumba zote za kawaida sana..Onesha na mjini tuone napo maana hapo hamna cha maana
Naona bado una ushamba sana ...Kijiji sasa sisi tufanyeje ?Wee accumen kwa chuki tu kwa wachaga 😆😆😆
Nina uhakika.Mkuu usichafue biashara za watu bira ushahidi.
Hizi statement unapozitoa, Uwe na uhakika unaweza kujitetea mahakamani.
Bank haiibii wateja wake.Mkuu usichafue biashara za watu bira ushahidi.
Hizi statement unapozitoa, Uwe na uhakika unaweza kujitetea mahakamani.
Nina uhakika.
Nikiweka ushahidi hapa patakuwa hapatoshi.
Hapa nilipo nipo na bank statement ya mtu aliye ibiwa zaidi ya 20M.
Mchongo ilisababisha na mfanyakazi wa Bank.
Ipo siku nitakuja kueleza yote. Nawapa nafasi polisi kukamilisha upelelezi.
Bank haiibii wateja wake.
Bali wafanyakazi wa bank wanawezesha watu waibiwe baada ya kumsoma mteja na kujua salio lake.
Na hapa niseme ukweli uwepo wa wachaga wengi hiyo bank umesababisha sana hilo tatizo.
Sina ubaya nao Wala sisemi wote Wana tamaa sana ya utajiri hata wa njia haramu.
Benki inayoshikana na ccm, unategemea nini?Kuna dada mmoja mitandao kalalamika kuibiwa pesa zake kwenye account za CRDB .Baada ya kupost aisee comment zilizokuwepo hapo.
Unaweza kuogopa kuweka pesa CRDB.