CRDB kuna wizi sana wa kuhamisha pesa za watu. Nilijua mimi tu ila nilinyamaza sasa yapata miaka 4

CRDB kuna wizi sana wa kuhamisha pesa za watu. Nilijua mimi tu ila nilinyamaza sasa yapata miaka 4

CRDB inachafuliwa na wafanyakazi wenye tabia ya wizi....Period Wizi unalenga pesa zinazokaa sana kwenye akaunti na mara nyingi ni fedha kati ya 30000 na 50000.

Mara ya mwisho nilimlalamikia Nsekela moja kwa moja wakati wa AGM iliyopita kwamba amulike watu anaowaajiri maana kuna wengine ni wezi. Nilifanya hivyo baada ya akaunti yangu ya miaka kadhaa nyuma ya products zao za mwanzoni ...Simaccount ambayo sitaki kuifunga kukwapuliwa pesa na kuambiwa akaunti yangu haina hela na ni domant wakati mimi najua nimeweka huko kiasi gani. 💢
Kama rais mwenyewe ni mwizi unategemea wananchi wafanye nini? Rais anaiba, ananunua magari ya kifahari halafu anajifanya kukemea corruption huku kila mtu akijua huyu ni mwizi! Nchi imeoza kila sekta!
 
Kuna dada mmoja mitandao kalalamika kuibiwa pesa zake kwenye account za CRDB .Baada ya kupost aisee comment zilizokuwepo hapo.

Unaweza kuogopa kuweka pesa CRDB.
Sio kwenye account tu,wanaiba Hadi cash,Kuna siku walinipiga 40k live
 
Kwa ujio wa Profesor Vincent kule Orbit Security na ule mkakati wake wa kusisimua soko la hisa DSE... Mabenki yanayoajiri wezi yajipange. Tutapeleka pesa kule kuliko na usalama na faida ya kutosha.
 
Attachments

  • VID-20260713-WA0023.mp4
    20 MB
Kuna huu ujinga mwingine hapa unaombwa kuingiza passwords ili uibiwe! hebu CRDB tunaomba mtoe precautions mara moja!
 
Attachments

  • 6B04BEC5-135F-4B11-978B-1653C5395010.jpeg
    6B04BEC5-135F-4B11-978B-1653C5395010.jpeg
    90.6 KB · Views: 6
  • 193E42C5-9B5F-423A-A906-2B5C3A8B3653.jpeg
    193E42C5-9B5F-423A-A906-2B5C3A8B3653.jpeg
    450.6 KB · Views: 7
Leo asubuhi kuna muamala uliingia kwenye account yangu ya CRDB, nlipata notification ya sms, then nkaenda kuangalia salio kupitia app, nkakuta 48000 haipo, nimepiga customer care, eti wanasema hiyo 48000 nliokatwa ni bank charges ya miaka mitatu yani 2024,2025,2026, nkamuuliza kwanini hayo makato hawakukata miaka miwili iliyopita, akasema kuna muda system za bank zinapata error, ndo kama hivyo miaka miwili bila makato, then wanakuja kukata mwaka huu 2026
Binafsi sijaridhika na hilo jibu ila nimepotezea tuu
 
Kuna mama aliwahi pigwa milioni 81 na mfanyalazi wa benk Fulani,japo baadae yule mfanyakazi alifukuzwa kazi
 
Back
Top Bottom