CRDB kuondoa Salary advance imekaaje?

CRDB kuondoa Salary advance imekaaje?

Salary advance ipo bana, acheni kuwaharibia CRDB biashara, cheki CRDB App utaona iko.
 
Moderator tunaomba rasmi muufute huu uzi crdb walibadilisha kidogo setting zao za simbanking zikaleta taharuki tunaomba muufute sasa .
Suruhusho moderetor wabadili kichwa cha uzi waweke kwamba menu ya kupata salary advance CRDB imebadilika. Hapo watakuwa wamesolve tatizo.
 
Mnahaiharibia CRDB jamani hawajaondoa, wamebadilisha settings zao tu. Mtafanya watu wahamie NMB kwa kasi kisa tu salary advance maana inasaidia Sana wengi.
 
Mkuu. Yaani tufanye Mshahara wako unaingia Tar 25 February. Sasa Ukishaingia unaweza kukopa Mshahara wa mwezi March asilimia kadhaa. Sasa ikifika Tarehe 25 March Bank watakata ile uliokopa na viasilikia kidogo na kitakachobaki wanakupa.

Tatizo ukisha anza huu mchenzo ndio basi tena.
Dah.... ulinitesa sana ila sasa hivi nimeacha.
 
Aisee watumishi endeleeni kujadiliana tu , sisi wakulima tunasubiri tuvune tulichokipanda.
 
Chonde chonde CRDB msitufanyie hivyo. Mnatuaibisha tulishaanza kunywa bia toka jana sasa leo kuondoa salary advance ndio nini?

Fanyeni mambo basi tunawaaminia.
endelea kunywa bia ondoa shaka
 
Hii ilikuwa inasaidia sana,badala ya kumpiga mtu mzinga wa laki au 50 elf,unaingia simbanking unakopa laki,unarudisha laki na elf 5 mshahara ukiingia,kama kweli CRDB wameondoa hii makitu duu ilikuwa itatusaidia wengi😃😃
 
Back
Top Bottom